Spokesperson
Member
- Sep 21, 2015
- 19
- 7
Habarini, ninafanya kazi katika kampuni moja hapa DAR.
Kilochonileta hapa ni kwamba ninatafuta kazi ya ziada ya kuifanya ama usiku (kama nitaifanya kwangu) au siku za mwisho wa wiki (mahala popote)
Elimu yangu ni BA in English Linguistics, na nina ujuzi wa Videography, Photography and Graphic Design (pia nimesomea shuleni), mbali na taaluma yangu kubwa.
Kuhusu malipo ningependa tulipane papo hapo, mara tu baada ya kuitazama na kuridhishwa na kazi niliyoifanya. UTALIPA UKIRIDHISHWA TU!
wenye Research desertations ninaweza kuzihakiki, au hata kuandika kutoka mwanzo (tukikubaliana); ukihitaji nikuandikie makala au hata andiko lingine Lolita, pia nipo tayari.
Kwa wanaoanzisha majarida: ninaandika na kupiga picha za mada mbalimbali, ninahariri kwa umakini mkubwa na kutengeneza mpangilio / mwonekano wa kurasa.
Ni-PM tufanye biashara.
Ahsante na ninawakilisha.