Recent content by spleen

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

    You can't play fair in a rough game
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

    Ahsante sana kwa maelezo yaliyonyooka mkuu,acha tuendelee kupambana,mungu akubariki sana🙏
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

    Ahsante sana,hapa nimeelewa vizuri, Mi binafsi nilivoanza kununua KIWANJA nilikua nadhani Kila kitu kinafanyika online,sababu ya mifumo ya TAUSI na eArdhi, Naomba niulize swali la mwisho tena Ukiacha kuipata PLAN NUMBER ambapo itakuhitaji uende halmashauri manually,ni sehemu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

    Bado sijapata mkuu,Kila nayemuuliza ananipa majibu ya AI na sio real time solution,naomba msaada mkuu jinsi ya kuipata hii plan number,Ili niweze kujaza kwenye mfumo wa eArdhi,niendelee na ombi la kuomba hati
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ukinunua ardhi TAUSI kupata hati ni kipengele?

    Wizara ya Ardhi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

    Mkuu kwema Nauliza hii plan number naipataje? Naomba unielekeze hatua kwa hatua?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

    Mkuu kwema Nauliza hii plan number naipataje Kwenya mfumo upi naweza kuomba kupata hio plan number?,procedure zipoje? Naomba unielekeze hatua kwa hatua kama hutojali, NOTE: nimekwama hapa kwenye kupata plan number
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

    Mkuu kwema Nauliza hii plan number naipataje?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Hazina wa Marekani Scott Bessent awaonya wanaofanya biashara na Iran

    Vipi visimi bado vipo au vikwazo inaviandama?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??!

    Reference zipi/kipato kipi/mtaji unaclarify ni biashara na si uchuuzi? NOTE:Mwenye advantage ni anayetengeneza pesa zaidi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Lissu ana somo la kujifunza kutoka kwa María Corina Machado wa Venezuela

    Na hapa ndio unakuta Iran inajadiliana na U.S kwa kutumia kalamu ya ballistic missiles,.....huku walokole wa Bongo wakiishia kusema Iran ni magaidi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??!

    Mwenye advantage ni yule anayeingiza pesa nyingi Cases scenarios 1.wapo waaajiriwa wanaingiza pesa nyingi kuliko WANAOFANYA biashara,eg,. 2.kuna waajiriwa wanafanya pia biashara na wameajiri wenzako 3.kuna wafanyabiashara wakubwa wamewaajiri wasomi 4.kuna wafanyabiashara wanajiona wakubwa na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Uwezekano ni mkubwa hii nafasi ya Makamu wa Rais! Ikahusu hawa watu 3 pekee

    Nimescreenshot usije edit/delete Yaani umefungiwa CHUMBANI,unagongwa na bwanaa wako siku kadhaa unadhani dunia ipo vle vile tu
Back
Top Bottom