Recent content by SpK

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Shahada za Uzamili kutoka Chuo Kikuu Mzumbe

    Bila shaka huyu jamaa ndo kimeo, yaani ulienda kusoma au kutoa pesa? Na hao wanaotoa pesa kufanyiwa dissertation wameenda kusoma au kutalii? Walimu na stori darasani nani alaumiwe kama wewe mwenyewe unaunga mkono hizo stori na kufurahia badala ya kuzingatia kilichokupeleka huko na kumkumbusha...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya clearing and forwarding

    Pls note also the following specs in some other employers, then furnish well your CV and apply with confidence when vacancies are advertised: S/N. POSITION 1. Port Inspector Grade II 2. Port Inspector Grade I 3. Senior Port Inspector Grade II 4. Senior Port Inspector...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Barua za kuwavua gamba CCM kumbe ziko hivi?

    Believe it or not but ni kweli. Confirm by calling 0784665027 ambayo ni namba ya simu ya ofisi hiyo ya CCM Kata kama ilivyo kwenye barua husika ya kumstop M/Kiti huyo wa Kata.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Barua za kuwavua gamba CCM kumbe ziko hivi?

    Hii ni habari true na siyo udaku, binafsi sipendi udaku na hata hayo magazeti ya udaku sina ushabiki nayo. Siweazi poteza muda wangu kwa kuweka kitu ambacho ni nonsense to the forum. This is a really thing and has been happened na barua hiyo ipo kama nilivyoinukuu na kuiweka hapo. Sikuweza...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Barua za kuwavua gamba CCM kumbe ziko hivi?

    Very sorry wadau, jana sikuweza pata scanner, nitawaletea barua original baada ya kui-scan na kuibandika hapa. Its a really thg pls dont judge otherwise. Hii imetokea live na si huyo tu ni zaidi ya Wenyeviti wawili katika Wilaya hiyo ambao nimeziona barua zao kwa macho yangu. Na hiyo nimenukuu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Barua za kuwavua gamba CCM kumbe ziko hivi?

    Kumbe KUJIVUA GAMBA ndo kumeanza kwa style hii? Mojawapo ya kiongozi wa ngazi ya juu kwenye Kata fulani ya Wilayani ameshapata barua kama ilivyo hapo chini. Maswali ya baadhi ya watu katika Kata hiyo: Mbona barua yenyewe imechelewa kumfikia (ameipata tar 20-05-11 tangu iandikwe tar...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mgombea Ubunge CHADEMA Shinyanga, afariki

    Mwenyezi Mungu ilaze roho ya marehemu kamanda Shemebi mahala pema peponi. Amina. Je, kuna mwenye data za dhati juu ya presha hiyo ya juu kabisa? Ilikuwaje, ikawa vp, and then kifo? ..... lakini kazi ya Mungu haina makosa .... Vipi kuhusu kesi yake juu ya matokeo ya uchaguzi ....... inaendaje...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lulu atimiza miaka 18 - Hongera sana

    Mh!!! Kanaonekana katamu sana aise ..... nani anazo namba zake za simu nikachakachue. Hapo akina mzee fataki kwa raha zao kwsbb ruksa .... its not under age ...... not a minor ..... and u can contract legally. Ila kanatakiwa kaanze kufikiri kwa kina maana ni mfano wa kuigwa kwenye jamii...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kazi za wahasibu aprili 2011

  10. S

    JamiiForums Tanzania Kazi za wahasibu aprili 2011

    Mkuu, ni kwamba kampuni hiyo ilifungwa soon kabla hata sija-enjoy kazi hiyo. I hate ufisadi na sipendi anyone ambaye hana commitment ya kuleta matunda ya dhati kwenye kampuni.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kazi za wahasibu aprili 2011

    Asante sana mkuu kwa faraja. Be blessed.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kazi za wahasibu aprili 2011

    Thanks. Kampuni gani hiyo mkuu na iko wapi inadeal na nini? More info pls if u're serious tufanye kazi....!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kazi za wahasibu aprili 2011

    Ndugu wanajamii, Mimi ni graduate wa Tanzania Institute of Accountancy (TIA) with an Advanced Diploma in Accountancy (ADA, with 2nd Class) 2006. Nina miaka 30 na nina uzoefu wa miaka 3+. Nimewahi kuwa ACCOUNTANT kwenye kampuni moja kabla haijafungwa kwa sababu ya economic crisis 2009...
  14. S

    JamiiForums Tanzania make Tsh 17000 on part time

    Huu ni wizi wa style ya DECI. Au tayari watu wamesahau yaliyopita? 7 x 7 Forced Matrix with Tons of Spillover INCOME All members can earn their Tsh.8,166,791,500/= by filling their forced matrix. How fast they get their Tsh.8,166,791,500/= is dependant on how good they advertise their referral...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwafrika: Alizaliwa paradiso sasa anaishi jehanamu

    MWAFRIKA: ALIZALIWA PARADISO SASA ANAISHI JEHANAMU Afrika ni bara lenye utajiri mwingi, lakini ni bara masikini kuliko yote duniani. Kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa, kati ya nchi 48 masikini sana duniani, 33 zinatoka Afrika, ikiwamo Tanzania. Zaidi ya hilo, Afrika ndilo...
Back
Top Bottom