Kijana wa mwaka wa kwanza Diploma katika chuo kikuu cha DIT , ajirusha toka ghorofa ya kumi mpaka chini.
Kisa cha yeye kujichukua uhai hakijulikani mpaka sasa.
vijana kujichukua maisha yenu wenyewe sio suluhisho ya matatizo yanayowasibu tena kwa kijana ambaye uko kwa institution ya elimu kuna...
Wanajamii habari zenu ,ninaomba msaada wa kielimu kwenye suala hili la kutengeneza animation ya automated power factor correction system kwenye kiwanda kidogo .
Pia na namna ya kuandika literature review ya project work ya hii kazi.
Sasa hili ni fumbo la kisiasa kwa minajili ya kupooza watu wasio elewa kwa sabab kama walisema kuna adha ya umeme sababu ikiwa utoaji wa huduma za umeme kwa sasa ni ngumu kutokana na kiwango cha umeme unaoweza kuzalishwa kwa muda huu uko chini ya gridi ya taifa kwa hio wakatoa miezi sita suala...
Endelea kutembelea akaunti yako mpaka siku ya kukata rufaa(appeal).
Mambo ya kuzingatia kwenye kukata rufaa sanasana wanachoangalia ni uhitaji wako wa kupata mkopo
ni;
1.Yatima-(mzaz mmoja au wote wawili wamefariki na (che)vyeti chake/vyao cha/vya kifo kiwe kimehakikiwa na RITA .)...
Kumpa mtu moyo ndo kitu bodi wanawafanyia watu huku wakiwapa matumaini yasiyo timika bora kujiandaa kwa lolote kuliko kukaa chini kutegemea bodi itafanya kitu cha tofauti zaidi .
Ikitokea wamepewa ashukuru Mungu lakini sio jambo la kuwapa watu matumaini yasiyokuwepo.Think Smart....
vigezo ni vile vipaumbele vya bodi ya mikopo kila mwaka wanavitaja kwenye muongozo wa utoaji mkopo
ambavyo ni kama una TASAF(kama unapokea hela kutoka TASAF kwa ajili ya kaya maskini),yatima (mzazi mmoja au wote wawili wamefariki),sponsorship(ufadhili) na katika muongozo wa mwaka huu 2023/24...
Inabidi bodi ya mkopo iunde mfumo ambao utakuwa na mawasiliano na vyuo vyote nchini kwamba kabla ya masomo kuanza katika chuo chochote wanafunzi wawe tayari wamewezeshwa na ada na boom ili kuondoa usumbufu kati ya mwanafunzi na vyuo kwenye malipo ya ada pamoja na wanafunzi hawa waweze kujikimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.