Aisee una mawazo makali kaka. Yaani una chagua location yenye mafuriko ya watu kisha una zindua bidhaa za surprise kama mihogo ya mayai.
Aisee nimeipenda sana hiyo . Hivi hiyo mihogo ya mayai inapikwa vipi ? Labda nijaribu home 😂😆😂
Hakika bro . Ungekuwa wewe ndio muuza mihogo unge manage na kuendesha vipi bussiness Yako na kufikia mafanikio. Nina shauku ya kusikia mawazo Yako kaka
Anauza mihogo ya kukaanga nikamshauri toa offer ya chai kwa wateja. Yaani unanunua mihogo chai unapata bure.
Ila wasio na tabia ya kujisomea unawajua walivyo? Hajafanya chochote anaendelea na comfort zone yake
Aisee lakini Kuna dada fulani analalamika biashara ngumu basi nikampa idea ya kutoa offer ya chakula kuvuta wateja. Lakini hayuolko tayari ku adapt to change.
Ndio matatizo ya kutokuwa na eleimu
Hivi kaka kwanini watu wengi mtaani wanakazia kutafuta pesa tu lakini maarifa hawayatafuti? Unakuta mtu kutwa biashara lakini kusomea mambo ya pesa na uchumi hakuna
Mimi nakubaliana na mtoa mada. Ushindi ni kujishinda KWANZA kisha unashinda mengine.
Nukuu nyingine zinazoebdana na hiyo.
ADUI NAMBA MOJA KATIKA MAISHA YAKO NI WEWE MWENYEWE.
Ni msemo wa mjini. Hadi huku watu wanapenda kuitumia huo msemo.
Unakuta hata mdogo wangu nikimnyima kitu na kumpq reason, eti anakunja kidole na kunambia Nina roho mbaya.
Nimewahi kuambiwa Nina roho mbaya mara kama6 hivi.lakini sielewi wana maana ipi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.