Pole sana Mkuu wa haya yanayokusibu,
Mwanamke akizungumza kuwa Hisia hana na wewe maanaake Hapo wewe ni Kaka yake au Mdogo wake!! Sasa utawezaje kuwa na Mahusiano na Ndugu simple!!
Mkuu tafuta Mwanamke atakye kuwa na Hisia na Wewe yaani atakupenda acha Tabia ya Kuwa kama Kupe yaani...
Mkuu,
Tafuta siku nzuri ambayo mkeo yuko sawa kichwani, zungunza nae vizuri kabisa hope atakuelewa coz wanawake ni walewale hii BORA, kuliko huyo Mama mchungaji aje kumwambia Mkeo itakuwa Hatari kubwa sana pia.
Note: Hapo hakuna Siri tena Ni swala la Muda kila Kitu kuwa Wazi sasa anza wewe...
Mkuu, kwanza pole sana Kwa haya unayopitia, wachache wataelewa haya mambo aisee!!
Nataka nikutie Moyo leo hii!! Mimi na Wife tumepitia Changamoto kubwa na Hii yako ni Nyepesi yaani Kuna Muda nashituka usingizini nakuta Wife analia inabidi nianze kumtia Moyo kwamba Tutapita Na hili pia, lakini...
Mimi na Mke wangu tunawasema Watu wa ofisini kwangu na Yeye wa Ofisini kwake mpaka usingingi unatuchukua Then kesho wakaninisani baada ya hapo wapangaji wetu changanya na Marafiki zangu na yeye marafiki zake yani ndo hivyo Aisee so Brother relux na Karibu kwenye Ndoa Wajuba tunajua namna ya...
Aisee hiv huyu jamaa hiz Nyuzi zake anandikaga kwa Kumanisha kweli? Mnashangaa hii ya Mshahara 200k anayo nyingine Mshahara 80k kwa mwezi kha!! Ata Mkoloni anakukataa kwamba wewe umezidi
Mods futeni huu uzi coz hasira zimepanda!! Mwamba kakuamini wewe unampa x fedha??? Aisee yani wewe mimi ningekuwa Natumikia Mvua za Milele!! Pumbavu Mala nyingi.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.