Aseee hiyo njia ni janga ni hakuna kabisa daladala za Mawasiliano-Mbezi hasa mida ya jioni ya watu kutoka maofisini kurudi majumbani, ukitaka urahisi upande bajaji au kama ni una lengo la kufika hadi mbezi halafu uende njia ya malamba mawili ni bora mara elfu kumi upande daladala za Segerea...
Write your reply...haya matatizo jamani ni ya kusikia kwa mwengine tu mimi Nina mdogo wangu anaumwa mwaka wa sita Sasa na keshalazwa hospital muhimbili zaidi ya miezi miwili na hakupata nafuu Bado tuna hangaika nae kwenye hospital na madaktar bingwa wa matatizo ya akili na kwenye Dua ila Bado...
Yaani paka anawavizia hadi wakiwa nje ya banda na ana technique balaa anawinda kwa kujificha chini ya nyasi yaani kama simba anavyowinda swala yaani copyright hadi nimempigia salute halafu mbaya zaidi kwa kuwa nishamfurumusha na mawe mara kadhaa basi ananijua akiniona hasogei ila nikimpa mgongo...
Mimi nafuga kuku wakienyeji na siwaangalii kuhusu chanjo wala chakula kila kitu wanajitafutia wenyewe na hata banda lao sifungagi wanaingia na kutoka wenyewe tu yaani ni kama wanajifuga coz hamna mwenye muda nao sasa nataka niwe nao serious kuwafuga ila changamoto kubwa niliyo nayo nimegundua ni...
Nop i mean it, i used to date a girl who was just like that and we got along pretty well, i like to be challenged sio demu ye kila kitu poa tu hata ukimdunda poa tu anakuwa anabore, japo akiwa mtata sana nako pia ishu sometimes akubali kucompromise
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.