Recent content by speechwriter

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Naye he has to take resposility
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    hawa wanalindana ngumu kuondolewa huyu mama wa OSHA kawekwa pale na mtu mzito sana nchi hii. Sidhani kama ataondoka let alone kuondolewa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Rais naona kaanza na bodi lakini nadhani angeanza na mawaziri then ashuke chini
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu Rais Magufuli aliwashtukia Wachina kutaka kuichukua na kuimiliki TANESCO

    Kuna kampuni ya kichina inamilikiwa na jamaa wa tanesco inaitwa TBEA Pitia tenda zote ilizopewa miaka 3 iliyopita then utapata jibu lako usiku mwema
  5. S

    JamiiForums Tanzania Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi?

    babu yake nyerere alitoka nchi gani?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Michongo ya Charles R. Stith

    kaibuka tena Charles Stith. Ameambatana na ujumbe wa viongozi wafanyabiashara wa Kimarekani na wataalamu wa tiba ili kuangalia maeneo ya ushirikiano na kuadhimisha miaka 20 toka kuteuliwa Balozi.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli anapanga kumwondoa Kinana na kumpa Abdallah Bulembo Ukatibu CCM

    Charles Kitwanga anaandaliwa kuwa rais ajae wa Tanzania baada ya Magufuli. Huyu ndio the second powerful man in Tanzania baada ya Magu kama Magu hatoongezewa muda ( Tafadhali rejea makala za Pasco wa JF juu ya udikteta wa Magu na anavyopenda power) Lakini Magu katika ku consolidate power ndani...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Al Hajj Kitwana Kondo, Mbunge wa Kigamboni mwaka 1999 Bungeni Dodoma

    Mh. Kitwana S. Kondo: Mheshimiwa Spika, naomba nikushuru sana. Mheshimiwa Spika, naomba na mimi nimpongeze Mheshimiwa Rais kwa hotuba yake aliyoitoa tarehe 4 Novemba, 1998 hapa Bungeni. Hotuba hii Mheshimiwa Spika ina ukweli, ina usahihi na pia ina uungwana. (Makofi). Mimi nataka ninukuu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Crescentius Magori, ni nani kwenye serikali ya Magufuli?

    Magori naye amehojiwa na TAKUKURU leo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi NSSF: Uongozi kukaa kimya maana yake nini

    Kuna habari kuwa hawa wakurugenzi wa NSSF nao wamehojiwa na TAKUKURU kutokana na tuhuma za ubadhirifu na rushwa. Magori ambaye ni Director wa Operations anatuhumiwa kuwa alipokea mabilioni toka kwa makampuni ya madini huko Geita wakati Eunice anatuhumiwa kupokea pesa kutoka makampuni mbali...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Eunice Chiume, kwanini unapotosha wanachama wa NSSF?

    Dah inaonekana mleta uzi unamzjua sana huyu dada...mama weeeeeh
  12. S

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigamboni kufunguliwa rasmi tarehe 16 April 2016

    Partnership au JV agreement kati ya NSSF na Serikali inasemaje kuhusu financials na usimamizi? Tafadhali tuelteee hicho kipengele Kwa nini serikali haikutoa 40% ya pesa kama ilivyosema kwenye agreement?
  13. S

    JamiiForums Tanzania INTELLIGENSIA wa Tanzania wako wapi?

    ........
Back
Top Bottom