SPY CATCHER
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 285
- 187
Kuna tuhuma kem kem kwenye magazeti dhidi ya NSSF na ubadhirifu yanayotajwa na magazeti lakini cha ajabu uongozi na hususan ofisi ya msemaji mkuu wa hili shirika ( BI EUNICE CHIUME ) imekuwa kimya sana baada ya yete Chiume kuhojiwa na TAKUKURU kwa ana tuhuma za matumizi mbaya ya ofisi na kuchukua rushwa toka kwa watu ambao wanao omba nafasi za kazi NSSF. Pamoja na hayo kwa nini huyu Mkurugezi Bi Eunice Chiume asijulishe Umma kuwa ukweli kuhusu hiyo ripoti na kama yanayosemwa magazeti ni yanayotoa ukweli wowote?