Magufuli anapanga kumwondoa Kinana na kumpa Abdallah Bulembo Ukatibu CCM

speechwriter

Senior Member
Jul 4, 2011
137
50
Charles Kitwanga anaandaliwa kuwa rais ajae wa Tanzania baada ya Magufuli. Huyu ndio the second powerful man in Tanzania baada ya Magu kama Magu hatoongezewa muda ( Tafadhali rejea makala za Pasco wa JF juu ya udikteta wa Magu na anavyopenda power)

Lakini Magu katika ku consolidate power ndani ya CCM anamwandaa rafiki yake Abdallah bulembo kuchukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye alimua kutumia muda wa miaka 4 kukipa heshima CCM vijijini na kwa wananchi ambao mwishowe wakampa Magu nchi
 
Bulembo umoja wa wazazi upo hoi,mpaka Pinda alitishia kuifuta jumuiya ile leo apewe ukatibu mkuu ccm?hapo ccm itakua jehanamu kabisa maana mpaka sasa imeshakufa
 
MKUU HAYO MAJUNGU TU, KITWANGA HAWEZI KUWA RAIS , NA BULEMBO KUWA KATIBU MKUU BADO SANA KWA SIASA ZA SASA, MAGUFULI ANAHITAJI WASOMI HATA KWENYE CHAMA
 
Miezi 6 bado lakini Victoria Boys (watu wa Ukanda wa Ziwa Victoria) wamekuwa na kasi ya kutisha lakini mbona hatuoni majina vijana au wanawake?

Charles Kitwanga anaandaliwa kuwa rais ajae wa Tanzania baada ya Magufuli. Huyu ndio the second powerful man in Tanzania baada ya Magu kama Magu hatoongezewa muda ( Tafadhali rejea makala za Pasco wa JF juu ya udikteta wa Magu na anavyopenda power)

Lakini Magu katika ku consolidate power ndani ya CCM anamwandaa rafiki yake Abdallah bulembo kuchukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye alimua kutumia muda wa miaka 4 kukipa heshima CCM vijijini na kwa wananchi ambao mwishowe wakampa Magu nchi
Nakupa tahadhari kuwa unaye msingizia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano! Pia cyber crime act inafanya kazi!

Mwenzio Yericko Nyerere alianza hivi hivi..na muulize kilichompata! Acha kumchezea Rais siyo Baba au Mama yako na wala si Babu yako..!
Mchuma janga hula na wakwao..leo watakusifu lakini kisutu hawatakuwepo kukutetea!
 
Hizi personal attacks sasa zimezidi na zinalishushia hadhi hili jukwaa.

Kuna watu wametumbuliwa majibu sasa kila kukicha ni kueneza propaganda.
 
Una uhakika na taarifa yako au ni kusherehesha jamvi?

Siku hizi hata ukijifichaje nyuma ya keyboard utapatikana tuu. ....Watch out ndugu. ..
 
Bulembo amekuwa mwikaji huko CCM kuliko hata katibu Mkuu! Sema tu yeye amepangwa kumjibu LOWASSA tu!

Issue yeyote inayumhusu Mh.Lowassa, mmojawapo wa wawajibuji ni Bw.Bulembo!
 
Kinana kakipa hadhi chama?!Sikuelewi.Jambazi likipe hadhi chama.Ni vituko.
Charles Kitwanga anaandaliwa kuwa rais ajae wa Tanzania baada ya Magufuli. Huyu ndio the second powerful man in Tanzania baada ya Magu kama Magu hatoongezewa muda ( Tafadhali rejea makala za Pasco wa JF juu ya udikteta wa Magu na anavyopenda power)

Lakini Magu katika ku consolidate power ndani ya CCM anamwandaa rafiki yake Abdallah bulembo kuchukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye alimua kutumia muda wa miaka 4 kukipa heshima CCM vijijini na kwa wananchi ambao mwishowe wakampa Magu nchi
 
Bulembo ana elimu gani ya kuongoza chama? Better keep Kinana.
Really a stupid idea to start talking about the next president after Magufuli. That is creating another Membe!
 
Kitwanga hatakua Rais..hata wafanyeje..
Bulembo hatakuwa katibu mkuu....
Mkuu hao ndio UKAWA kwa sasa hivi hawana KICK.... wamepoteza DIRA.... Mwanzo walianza na kuyakataa matokeo...Baada ya hapo kususia Bunge....Baada ya hapo kuponda baraza la mawaziri.... Baada ya hapo kubeza mambo mazuri huku wakisema Magu, Makonda wanatekeleza sera zao...lakini hapo hapo wakipita makanisani kuomba maaskofu wazuie majipu....mara KUBWA LA MAADUI akamshafu rais wetu mpendwa kuwa hana MAONO........ Mara MCC.....na karata ya Mwisho zanzibar...... Mwaka huu mpaka uishe clinic za magonjwa ya moyo zitajaa manyumbu ya UKIWA.... wabillahi taufiq!
 
Ukawa wanatamani sana Kinana apumzike na nafasi yake apewe Bulembo!
CCM kwenye Masuala ya Chama huwa makini mno!
 
Back
Top Bottom