Recent content by speachless

  1. speachless

    JamiiForums Tanzania Jamani nimeamua kuokoka

    Mungu akuatamie ,usirudi nyuma kamwe,umepata ushindi wa maisha haya ya dunia ,uzima wa milele hongera mshike sana mungu ,na neno lake .
  2. speachless

    JamiiForums Tanzania Hongera Tanzania Hongera Bunge kwa kukataa kuligawa Taifa kwa mambo ya kidini

    Hongera bunge ,mungu ibariki tanzania
  3. speachless

    JamiiForums Tanzania Pinda Hana Makuu, Amejiandaa kwa Lolote! Sitta Ameandaliwa Kupokea "Hilo" Lolote Likitokea!

    Sheria hairuhusu kumwajibisha rais so tutulie vile haiwezekani wakikalia kimya hili wasishangae mabomu zaidi ya hili kuja badae
  4. speachless

    JamiiForums Tanzania Soma majina ya waliokula hela za akaunti ya ESCRO katika ripoti ya PAC iliyomwa leo bungeni!

    Tume ya warioba ililiona hili ikaweka misimamo mikali mno kwa viongozi wa style hizi .vifungu hivyo ccm wamefuta katika rasim pendekezwa sasa wacha waibeee weeee majambazi haya ya kalamu yanayotumia akili
  5. speachless

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Tume ya warioba ililiona hili ndo maana ikaweka misimamo mikali mno ya kuwabana viongozi wa style hizi majambazi wanaotumia akili na kalamu ila ccm wamefuta vifungu hivyoo wacha tu waibee weee hukumu yao wataikuta mbinguni
  6. speachless

    JamiiForums Tanzania Naomba update za escrow

    Hivi huu mjadala kweli kesho upo au wanatuzuga hawa?
  7. speachless

    JamiiForums Tanzania Navutiwa na mwanamke anayevaa underskirt

    Mweee!!!gagulo tena
  8. speachless

    JamiiForums Tanzania Escrow Scandal Bungeni: Data base ya Majadiliano

    Mjadala huu unajadiliwa lini bungeni nijiandae mieee!
  9. speachless

    JamiiForums Tanzania Wangekuwa wapinzani...

    Hiwezi kushondana na aloshika mpini na we umeshika makali ,mtawala.anamamlaka tu .
  10. speachless

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tasnia ya Bongo movie?

    Hivi huyu hua yuko utamaduni au utalii?maana mmmhhh!
  11. speachless

    JamiiForums Tanzania Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

    Kucha hazirefuki zikikua kidogo tu zinakatika tu
Back
Top Bottom