Hivi kuna tasnia ya Bongo movie?

Hivi kuna tasnia ya Bongo movie?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Namsikiliza ndugu Nyalandu hapa kwenye tv akizungumzia kutumia wasanii wa tasnia ya muziki na tasnia ya bongo movie kutangaza utalii... Hivi yuko sawa huyu kweli?
 
hao nia yao kuwa gegeda tu madada wa bongo movies na bngo fleva hkuna lolote.....kwa nini wasitumie makundi ya utamaduni....
 
ishu kubwa ni kwamba wazirI anapotosha. hakuna kitu kama tasnia ya bongo movie. kuna tasnia ya filamu. na shirikisho linalotambulika ni taff...
 
Back
Top Bottom