Soma majina ya waliokula hela za akaunti ya ESCRO katika ripoti ya PAC iliyomwa leo bungeni!

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,555
2,000
SOMA MAJINA YA WALIOKULA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW KATIKA RIPOTI YA PAC INAYOSOMWA SASA BUNGENI.

Zitto: Upande wa viongozi wa kisiasa ambao waliingiziwa fedha katika akaunti zao binafsi ni; Mhe. Andrew Chenge (Mb)

Zitto: Andrew Chenge aliingiziwa shilingi bilioni 1.6. Zitto: Mhe. Anna Tibaijuka (Mb) na Waziri wa 62 Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi shilingi bilioni 1.6.

Zitto: Mhe.William Ngeleja (Mb) na ambaye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini alipewa shilingi milioni 40.4 Zitto: Ndg. Daniel N. Yona ambaye alikuwa pia Waziri wa Nishati na Madini alipewa shilingi milioni 40.4.

Zitto: Ndg. Paul Kimiti ambaye ni Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Sumbawanga alipewa shilingi milioni 40.4 Zitto: Dr. Enos S. Bukuku ambaye alikuwa Mjumbe wa Bodi ya TANESCO aliingiziwa shilingi milioni 161.7.

Zitto: Upande wa Majaji Prof. Eudes Ruhangisa, aliingiziwa milioni 404.25 na J.A.K Mujulizi aliingiziwa shilingi milioni 40.4

Zitto: kwa upande wa Watumishi wa umma,Ndg. Philip Saliboko ambaye alikuwa mtumishi wa RITA aliingiziwa shilingi milioni 40.4

Zitto: Ndg. Emmanuel Daniel Ole Naiko ambaye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa (TIC) aliingiziwa shilingi milioni 40.4

Zitto: Ndg. Lucy L. Appollo ambaye ni Mtumishi wa TRA aliingiziwa shilingi milioni 80.8. Zitto: Viongozi wa Madhehebu ya Dini walioingiziwa fedha na Benki ya Mkombozi ni Askofu 63 Methodius Kilaini shilingi 80.9

Zitto: Askofu Eusebius Nzigirwa shilingi milioni 40.4 na Mchungaji Alphonce Twimann Ye Simon shilingi milioni 40.4.

Zitto: Watu walienda kugawana fedha kwenye Benki tajwa wakiwa na mifuko ya rambo, sandarusi, mabox, magunia na lumbesa TegetaEscrow

Zitto: Bilioni 73.5 zilitolewa na kugawanywa kwa watu mbalimbali kinyume cha Sheria ya Benki Kuu na Taasisi za Fedha ya 2006

Zitto: Taarifa ya benki (bank statements) yenye majina na akaunti zote zilizoingiziwa fedha zimeambatishwa.

Zitto: Kamati imebaini mawasiliano kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha

Zaidi, soma;

https://www.jamiiforums.com/threads...i-kuhusu-tegeta-escrow-account.764613/page-62
 
nyamchele

JF-Expert Member
May 28, 2014
1,233
2,000
Si lazima kupost...unachanganya watu. Hueleweki. bora uka copy na ku paste ripoti ya zito yenye hayo majina kama unayo. Otherwise huna jipya kwani watu walishatoa hayo majina....
 
ikizu

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
431
0
hongera sana zito na filikonjombe kwa kuwasilisha vizuri.
vipi mbo hamjatupa mgao wa upande wa pili kwa huyo singasinga aliwapa akina nani hizo hela?
 
vaikojoel

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
2,000
SOMA MAJINA YA WALIOKULA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW KATIKA RIPOTI YA PAC INAYOSOMWA SASA BUNGENI. Zitto:

Upande wa viongozi wa kisiasa ambao waliingiziwa fedha katika akaunti zao binafsi ni;

Mhe. Andrew Chenge (Mb)= shilingi bilioni 1.6.

Mhe. Anna Tibaijuka (Mb) na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi = shilingi bilioni 1.6.

Mhe.William Ngeleja (Mb) na ambaye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini = shilingi milioni 40.4

Ndg. Daniel N. Yona ambaye alikuwa pia Waziri wa Nishati na Madini = shilingi milioni 40.4.

Ndg. Paul Kimiti ambaye ni Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Sumbawanga = shilingi milioni 40.4

Dr. Enos S. Bukuku ambaye alikuwa Mjumbe wa Bodi ya TANESCO = shilingi milioni 161.7.

Upande wa Majaji

Prof. Eudes Ruhangisa, aliingiziwa milioni 404.25 na J.A.K Mujulizi aliingiziwa shilingi milioni 40.4

upande wa Watumishi wa umma,

Ndg. Philip Saliboko ambaye alikuwa mtumishi wa RITA aliingiziwa shilingi milioni 40.4

Ndg. Emmanuel Daniel Ole Naiko ambaye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa (TIC) aliingiziwa shilingi milioni 40.4

Ndg. Lucy L. Appollo ambaye ni Mtumishi wa TRA aliingiziwa shilingi milioni 80.8.

Viongozi wa Madhehebu ya Dini walioingiziwa fedha na Benki ya Mkombozi

Askofu Methodius Kilaini shilingi 80.9

Askofu Eusebius Nzigirwa shilingi milioni 40.4

Mchungaji Alphonce Twimann Ye Simon shilingi milioni 40.4.

Watu walienda kugawana fedha kwenye Benki tajwa wakiwa na mifuko ya rambo, sandarusi, mabox, magunia na lumbesa TegetaEscrow

Bilioni 73.5 zilitolewa na kugawanywa kwa watu mbalimbali kinyume cha Sheria ya Benki Kuu na Taasisi za Fedha ya 2006

Taarifa ya benki (bank statements) yenye majina na akaunti zote zilizoingiziwa fedha zimeambatishwa.

Kamati imebaini mawasiliano kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha

HAPO VIPI???

Source : copy and paste
 
gen parton

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
615
500
mmh hawa mapandri nashauri cardinal pengo awashe cheo kilaini kutoka askofu mkuu hadi awe kwaya master huyo mwenziwe awe nzigirwa awe katekister tu
 
speachless

Member
Oct 19, 2014
12
0
Tume ya warioba ililiona hili ikaweka misimamo mikali mno kwa viongozi wa style hizi .vifungu hivyo ccm wamefuta katika rasim pendekezwa sasa wacha waibeee weeee majambazi haya ya kalamu yanayotumia akili
 
chingas

JF-Expert Member
Oct 29, 2014
261
195
wacha wapigwe tu
sospeter muhongo-- apigwe tu
pinda k mizengo ---apigwe tu
---;tibaijuka. ----apigwe tu
wengine wote---wapigwe tu
 
Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,343
1,500
Wahuni wanachuki binafsi zito na wenzake. Mbona pap hawajaleta bank statement yake? Huko ndoo kwenyewe. Hata watoto wa igwe walipewa mgao toka pap
 
dundula

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
539
0
SOMA MAJINA YA WALIOKULA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW KATIKA RIPOTI YA PAC INAYOSOMWA SASA BUNGENI. Zitto:

Upande wa viongozi wa kisiasa ambao waliingiziwa fedha katika akaunti zao binafsi ni;

Mhe. Andrew Chenge (Mb)= shilingi bilioni 1.6.

Mhe. Anna Tibaijuka (Mb) na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi = shilingi bilioni 1.6.

Mhe.William Ngeleja (Mb) na ambaye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini = shilingi milioni 40.4

Ndg. Daniel N. Yona ambaye alikuwa pia Waziri wa Nishati na Madini = shilingi milioni 40.4.

Ndg. Paul Kimiti ambaye ni Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Sumbawanga = shilingi milioni 40.4

Dr. Enos S. Bukuku ambaye alikuwa Mjumbe wa Bodi ya TANESCO = shilingi milioni 161.7.

Upande wa Majaji

Prof. Eudes Ruhangisa, aliingiziwa milioni 404.25 na J.A.K Mujulizi aliingiziwa shilingi milioni 40.4

upande wa Watumishi wa umma,

Ndg. Philip Saliboko ambaye alikuwa mtumishi wa RITA aliingiziwa shilingi milioni 40.4

Ndg. Emmanuel Daniel Ole Naiko ambaye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa (TIC) aliingiziwa shilingi milioni 40.4

Ndg. Lucy L. Appollo ambaye ni Mtumishi wa TRA aliingiziwa shilingi milioni 80.8.

Viongozi wa Madhehebu ya Dini walioingiziwa fedha na Benki ya Mkombozi

Askofu Methodius Kilaini shilingi 80.9

Askofu Eusebius Nzigirwa shilingi milioni 40.4

Mchungaji Alphonce Twimann Ye Simon shilingi milioni 40.4.

Watu walienda kugawana fedha kwenye Benki tajwa wakiwa na mifuko ya rambo, sandarusi, mabox, magunia na lumbesa TegetaEscrow

Bilioni 73.5 zilitolewa na kugawanywa kwa watu mbalimbali kinyume cha Sheria ya Benki Kuu na Taasisi za Fedha ya 2006

Taarifa ya benki (bank statements) yenye majina na akaunti zote zilizoingiziwa fedha zimeambatishwa.

Kamati imebaini mawasiliano kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha

HAPO VIPI???

Source : copy and paste
Mi nimemkubali mzee wa vijicent hachezi mbal na milo mitamtam!
 
dundula

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
539
0
mmh hawa mapandri nashauri cardinal pengo awashe cheo kilaini kutoka askofu mkuu hadi awe kwaya master huyo mwenziwe awe nzigirwa awe katekister tu
Pengo nae ndo walewale tu wanaochota pesa zetu na kuzihamishia makanisani!
 
Ngalikivembu

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,948
2,000
Jambazi

Katika listi ya viongozi wa dini Zitto kamsahau Padre Gaudance Talemwa ambaye ni mhadhiri wa SAUT.
 
Last edited by a moderator:

steveson manumbu

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
886
195
Hillo Jina, Zitto limejirudia sana hapo, na pia haiko vizuri kiusomaji..Mods please, act.accordingly.
MAJINA YA WALIOKULA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW KATIKA RIPOTI YA PAC INAYOSOMWA SASA BUNGENI.

Zitto: Upande wa viongozi wa kisiasa ambao waliingiziwa fedha katika akaunti zao binafsi ni; Mhe.
Andrew Chenge (Mb)

Zitto: Andrew Chenge aliingiziwa shilingi bilioni 1.6.

Zitto: Mhe. Anna Tibaijuka (Mb) na Waziri wa 62
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi shilingi bilioni 1.6.

Zitto: Mhe.William Ngeleja (Mb) na ambaye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini alipewa shilingi milioni 40.4

Zitto: Ndg. Daniel N. Yona ambaye alikuwa pia Waziri wa Nishati na Madini alipewa shilingi milioni 40.4.

Zitto: Ndg. Paul Kimiti ambaye ni Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Sumbawanga
alipewa shilingi milioni 40.4

Zitto: Dr. Enos S. Bukuku ambaye alikuwa Mjumbe wa Bodi ya TANESCO aliingiziwa shilingi milioni 161.7.

Zitto: Upande wa Majaji Prof. Eudes Ruhangisa, aliingiziwa milioni 404.25 na J.A.K Mujulizi aliingiziwa shilingi milioni 40.4

Zitto: kwa upande wa Watumishi wa umma,Ndg. Philip Saliboko ambaye alikuwa mtumishi wa RITA aliingiziwa
shilingi milioni 40.4

Zitto: Ndg. Emmanuel Daniel Ole Naiko ambaye
alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa (TIC) aliingiziwa shilingi milioni 40.4

Zitto: Ndg. Lucy L. Appollo ambaye ni Mtumishi wa TRA aliingiziwa shilingi milioni 80.8.

Zitto: Viongozi wa Madhehebu ya
Dini walioingiziwa fedha na Benki ya Mkombozi ni Askofu 63
Methodius Kilaini shilingi 80.9

Zitto: Askofu Eusebius Nzigirwa shilingi milioni 40.4 na Mchungaji Alphonce Twimann Ye Simon shilingi milioni 40.4.

Zitto: Watu walienda kugawana fedha kwenye Benki tajwa wakiwa na mifuko ya rambo, sandarusi,
mabox, magunia na lumbesa TegetaEscrow

Zitto: Bilioni 73.5
zilitolewa na kugawanywa kwa watu mbalimbali kinyume cha
Sheria ya Benki Kuu na Taasisi za Fedha ya 2006

Zitto: Taarifa
ya benki (bank statements) yenye majina na akaunti zote
zilizoingiziwa fedha zimeambatishwa.

Zitto: Kamati imebaini mawasiliano kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,358
2,000
Chenge, Tibaijuka, Ngereja, ... Wanaheshimiwa kwa lipi mpaka waitwe waheshimiwa
 
nyamofu

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
296
195
Hillo Jina, Zitto limejirudia sana hapo, na pia haiko vizuri kiusomaji..Mods please, act.accordingly.
mmh hawa mapandri nashauri cardinal pengo awashe cheo kilaini kutoka askofu mkuu hadi awe kwaya master huyo mwenziwe awe nzigirwa awe katekister tu
Hata mie najiuliza endapo waliochukua pesa watawajibika je kwa upande wa watumishi.wa mungu itakuwaje?? Mtumishi wa mungu Pengo chukua hatua na wewe kuhusu hawa watumishi kwani ni hatari pia, pia natoa ushauri kuhusu bank ya mkombozi kwa kuonekana ni bank inayotumia fedha chafu nayo meneja mkuu achukuliwe hatua ili iwe fundisho kwa wafanyakazi wengine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom