Recent content by SPACED

  1. SPACED

    Nyerere ndio kiongozi pekee muadilifu anayepaswa kuigwa Afrika

    Nakubaliana na wewe kwa hoja namba 4 tu kati ya hoja ulizotoa. Mambo mengine yote uliyoyaeleza ni sera yake mbovu ya ujamaa ndo ilimfanya astaafu hivyo. Hayo maisha yaliwezekana kwa mapadre tu tena wa enzi hizo. Kwa zama sasa huwezi kutushawishi tuongoze na kuishi maisha ya Nyerere.
  2. SPACED

    Vipaumbele vikuu vitatu kwa sasa kulingana na hali halisi

    Wakati mwingine unaonekana kama boya kweli, sasa hapa ndo umeandika nini? Wewe ni miongoni watu wenye hoja jadilifu hapa JF lakini ulichokiandika hapo juu ni hoja mfilisi
  3. SPACED

    Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    Kwa nini wasipeane shift kila siku wao tu, au kuna jambo tusilolijua wao wanalijua? Ukiona muuguzi anamng'ang'ania mgonjwa ujue hataki siri zake zitangazwe zijulikane. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. SPACED

    Ni nini kiliwashinda UKAWA kwenda mahakani?

    Nimekusoma mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. SPACED

    Ni nini kiliwashinda UKAWA kwenda mahakani?

    Nimefuatilia mwenendo wa kesi ya kupinga ushindi wa Kenyatta nikaona jinsi haki inavyojidhihirisha mahakamani. Nimelinganisha utendaji wa mahakama za Kenya na za hapa kwetu nikaona hakuna utofauti wowote linapokuja suala la kutoa hukumu/haki. Waliotangaza ushindi wa Kenyatta ni majaji sawa...
  6. SPACED

    CHADEMA yasisitiza kufanya maandamano kesho ya amani

    Aliyetoa tamko hana mamlaka ya kuitisha maandamano ya nchi nzima, ikiwa ya boss wake yalifail na ya mwanasheria wao yakaota mbawa, yeye ni nani hata afanikiwe? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. SPACED

    Kumbe CHADEMA wanafurahia nguvu ya polisi kuzima maandamano ya wapinzani Kenya

    Amani iwatawale wanabodi Wadau ni wakati duru za siasa na demokrasia barani Afrika zikitawaliwa na maandamano pamoja na matamko mbalimbali, hali hii ni tofauti sana hapa kwetu Tanzania. Kwetu hutekelezwa kwa weledi mkubwa sana makundi ya kiharakati tofauti kabisa na vyama vya siasa. Kenya...
  8. SPACED

    Naiondoa na Ku-'delete' Channel 10 kwa kurusha habari za Makonda

    Unayemchukia anapendwa unayempenda anadharaulika Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  9. SPACED

    Wanachama wa CCM zaidi ya 58 wajiondoa CCM na kujiunga na Chadema Sombetini Arusha

    Jaza ujazwe Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  10. SPACED

    Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?

    Nakuunga mkono, hilo taifa limekuwa na kasumba ya midia zake kuchafua sifa ya nchi yetu na wakati mwingine kutembelea nyota yetu. Kwa hili serikali isiwe proactive
  11. SPACED

    Kubenea azidi kumkalia kooni Bashite

    Single ya Bashite imeshachuja tufocus zinazohiti kwa sasa
  12. SPACED

    Mbunge gani ajitokeze kujibu maswali haya.

    Wanabodi salamu ziwatangulieni nyote Nidhahiri kabisa kila mmoja wetu ameshapata muda kutosha kutafakari kauli za viongozi wetu walizozitoa pale Chimwaga jana. Binafsi nimeitafakari kauli iliyotolewa na waziri wa nchi UTUMISHI NA UTAWALA BORA akirejelea masharti yaliyomo katika ibara ya 67(1)...
  13. SPACED

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Punguza stress. Mamlaka imeshaamua huna budi kutii. It pains but no way out
  14. SPACED

    CHADEMA tuwe makini na watu hawa, wanaharibu 'brand' ya chama

    Nisogezee upande wa pili unaohisi ndio uliolengwa mkuu, mie mafuta yamekata nikiwa katikati ya kundi hili nililolitaja
  15. SPACED

    CHADEMA tuwe makini na watu hawa, wanaharibu 'brand' ya chama

    Ikiwa umefikiria kama nilivyofikiria mimi basi umeelewa nilichomaanisha, kama kama fikra zako zimekutuma tofauti mada haikukulenga wewe mkuu. Ata hivyo nimependa mtazamo wako hauko mbali na mada yangu
Back
Top Bottom