Wanachama wa CCM zaidi ya 58 wajiondoa CCM na kujiunga na Chadema Sombetini Arusha

Bekabundime

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
2,016
1,732
Leo jioni wana chama zaidi ya 50 wa CCM wameamua kuachana na porojo na uongo za Chama cha Mapinduzi na kuingia chama cha Chadema.

Wakihojiwa mbele ya Diwani na Mwenyekiti wa Kata ya Sombetini wana sema wamegundua lengo la chama cha CCM si maendeleo Bali ni kuuua upinzani kwa hila na kuhonga viongozi wa upinzani.

Sasa wamesema ni bora kama CCM imeamua kufanya hila hizo badala ya maendeleo basi wao kwa hiari yao wameamua kuiunga mkono chadema, kwani bila chadema watanzania wasingelijua nchi hii inavyotafunwa na CCM.
 
Leo jioni wana chama zaidi ya 50 wa CCM wameamua kuachana na porojo na uongo za Chama cha Mapinduzi na kuingia chama cha Chadema,wakihojiwa mbele ya Diwani na Mwenyekiti wa Kata ya Sombetini wana sema wamegundua lengo la chama cha CCM si maendeleo Bali ni kuuua upinzani kwa hila na kuhonga viongozi wa upinzani,sasa wamesema ni bora kama ccm imeamua kufanya hila hizo badala ya maendeleo basi wao kwa hiari yao wameamua kuiunga mkono chadema,kwani bila chadema watanzania wasingelijua nchi hii inavyotafunwa na ccm.
Hakuna kitu kama hicho....labda sombetini ya Dar....bavicha acheni kujifariji
 
Arusha ni ngome ya chadema sasa cha ajabu ni kipi? Ni sawa na kusema mlevi kakutwa bar!
 
Kudanganya ni fani kama fani zingine pamoja na kwamba haijarasimishwa kisheria.

Uongo wako huu hata mtoto wa darasa la nne ataugundua.

Huo mkutano umefanyikia kwenye keyboard/keypad yako?

Ninyi mnafanya maigizo wakati wenzeni wanatenda ukweli.
 
Ha ha ha... unadhan umeweza walaaaaaah sana sana tu umejiabisha kwa uongo huo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho....labda sombetini ya Dar....bavicha acheni kujifariji

Arusha ni ngome ya chadema sasa cha ajabu ni kipi? Ni sawa na kusema mlevi kakutwa bar!

Kudanganya ni fani kama fani zingine pamoja na kwamba haijarasimishwa kisheria.

Uongo wako huu hata mtoto wa darasa la nne ataugundua.
mbona mapovu LUMUMBA AU MNAFIKIRI ARUSHA NI KAMA DODOMA MLIKOWANYIMA ELIMU ILI MUWATAWALE
IMG-20170713-WA0011.jpeg
 
Dawa ya moto ni moto au hapa tofauti?
Anyways,ingekuwa enzi za ukatibu wa Slaa,tungekuwa tunaongelewa wasaliti kuvuliwa uanachama bila kujali nafasi zao.Mashinji anasinzia kidogo!
 
Back
Top Bottom