Recent content by Southgate

  1. Southgate

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Habari wakuu, Natafuta fundi inayeweza kunirekebishia simu yangu redmi note 6 pro iliangukia kwenye maji, mi nipo Mwanza.
  2. Southgate

    Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

    Usanii flank hivi amazing Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Southgate

    Kwa wanaofahamu uimara na Mapungufu ya za Peugeot

    Habari Wakuu, Nimevutiwa sana na hizi gari za Peugeot, naomba kupata taarifa kadhaa kuhusiana na hizi gari ikiwemo uimara wake na upatikanaji wa vipuri (spare parts) zake kwa hapa Tanzania.
  4. Southgate

    Acha upotoshaji wewe, hakuna wakati nchi ilikuwa pazuri zaidi kama wakati wa Kikwete

    Kwani hivi sasa hakuna hospital zenye msongamano?
  5. Southgate

    Mabeki tatu na simu ni majanga

    Mkuu hawa viumbe hata uwape uhuru wanamambo yao haki yanauzi mno omba yasikukute.
  6. Southgate

    Mabeki tatu na simu ni majanga

    Sio malezi huwa wana ulimbukeni wa mjini mkuu pia wanaroho mbaya. Kifupi hawa watu hawapendi hata uishi naye kwa kiwango gani akiamua kufanya lake utabaki unastaajabu.
  7. Southgate

    Mabeki tatu na simu ni majanga

    Asilimia kubwa ya hawa watu hata kama awe mkubwa na unaishi naye kama ndugu au mwanao huwa wanaroho na akili za ajabu ajabu.
  8. Southgate

    Nitapata wapi malighafi hizi Jijini Mwanza?

    Nenda SIDO utazipata. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Southgate

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Asante Ndugu nimepokea mzigo wangu Mwanza ukiwa salama, Asante kwa huduma nzuri.
  10. Southgate

    Hongera TBC kwa mabadiliko makubwa

    Mara mia ufatilie story za kwenye vijiwe vya Kahawa kuliko kufatilia vipindi vya TBC
  11. Southgate

    TLS ifutwe tu, haipo kwa maslahi ya nchi bali matumbo yao!

    ''Sizi taki mbichi hizi''
Back
Top Bottom