Nitapata wapi malighafi hizi Jijini Mwanza?

Ronzobe B29

JF-Expert Member
Jul 8, 2017
236
225
Wanajanvi natumaini mu-wazima wa afya lakini pia pole nyingi ziende kwa wale wanaojisikia vibaya
Kama kichwa cha uzi hapo juu, Natafta malighafi zifuatazo nitazipata sehemu gani kwa mwanza au kama kuna mtu anajihusisha na hivi vitu naomba tuwasiliane au uweke hapa kwa faida ya wengine pia.
Na ikiwezekana uweke na bei ya kila kimoja mfano kilo au lita
1. Magadi soda
2. Mafuta ya mawese
3. Mafuta ya mosa
4. Glyceline
5. Rangi ya kijani
Nitashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,396
2,000
Unataka kutengeneza sabuni mkuu?...lakini kama unamtaji wakutosha mimi naona ni bora ungefunga safari kama nikigoma au mkoa unazalisha kwenda kutafuta hayo mawese, na product zingine
 
1son

Member
Aug 17, 2013
61
125
Wanajanvi natumaini mu-wazima wa afya lakini pia pole nyingi ziende kwa wale wanaojisikia vibaya
Kama kichwa cha uzi hapo juu, Natafta malighafi zifuatazo nitazipata sehemu gani kwa mwanza au kama kuna mtu anajihusisha na hivi vitu naomba tuwasiliane au uweke hapa kwa faida ya wengine pia.
Na ikiwezekana uweke na bei ya kila kimoja mfano kilo au lita
1. Magadi soda
2. Mafuta ya mawese
3. Mafuta ya mosa
4. Glyceline
5. Rangi ya kijani
Nitashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda SIDO utazipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom