Recent content by soul provider

  1. soul provider

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    jitahidi uwekezaji wako ujikite zaidi kwenye Tumbo (chakula) kutoboa ni rahisi sana. Hapo swali ni HOW? Ntarudi tena
  2. soul provider

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

    Naona una haraka ya kuwa kilema😆😆
  3. soul provider

    JamiiForums Tanzania Dunia imebadili wengi, alisema ananipenda leo ananiambia nitoe Mimba, hivi kweli!!

    Nnachojua Mungu hawezi kukupa majaribu kuzidi uwezo wako.. Utapata tu mlango wa kutokea, be strong
  4. soul provider

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini niepuke kivuli cha ex husband asiyekubali kuachana?

    Jaribu kuhama Mkoa, nenda kaanze upya mbali na hapo ulipo.
  5. soul provider

    JamiiForums Tanzania Tafuta hela

    Hapo Kwa kuitegea unaangukia kwenye Hela za MAELEKEZO.. hatari sana😁😁
  6. soul provider

    JamiiForums Tanzania Tafuta hela

    Kuna mmoja anasema Hela haitafutwi, Hela inategwa.
  7. soul provider

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je!! Kuna haja ya kumfata mumewe kituo kipya cha kazi??

    Kwanza waweke tofauti zao pembeni ndipo tuanze kumshauri
  8. soul provider

    JamiiForums Tanzania Tuwasaidie wanawake wanaotembeza matunda na watoto mgongoni

    Ni huruma sana hasa vitoto vidogo vipo mgongoni siku nzima, hatari Kwa afya na usalama wao
  9. soul provider

    JamiiForums Tanzania Ni vipi Ufalme wa Mungu uko ndani yetu?

    Ukisoma bible utagundua AGANO LA KALE NA AGANO JIPYA Mungu ameamua kujifunua kiutofauti kidogo AGANO la kale utaona Mungu alikuwa haishi ndani ya binadamu kiroho sababu ya uovu waliofanya Adam na Eve so Mungu akapunguza Ile partnership kati yake na Binadamu. AGANO JIPYA.. hapa Mungu kaja...
  10. soul provider

    JamiiForums Tanzania Ni vipi Ufalme wa Mungu uko ndani yetu?

    ukipata muda soma Galatia 2:20 utapata picha halisi kiroho wewe ni nani katika ufalme wa Mungu ndani ya Kristo Yesu
  11. soul provider

    JamiiForums Tanzania Ni vipi Ufalme wa Mungu uko ndani yetu?

    Ndugu Utajua wewe hayo ni Mambo ya kiimani na kiroho zaidi.. gspain na Daudi1 wako sahihi kabisa kwenye maelezo yao
  12. soul provider

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    😅😅😅
  13. soul provider

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuitetemesha nchi leo, nenda hata kwa jirani Mwenye TV

    😄😄😄 Anyway, acha wapige maokoto ndo msimu wao huu
  14. soul provider

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuitetemesha nchi leo, nenda hata kwa jirani Mwenye TV

    Chawa wa mama kwenye ubora wako
  15. soul provider

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    Hivi yule kiongozi wa EAST COAST TEAM yupo kweli au ameshatutoka? Nakumbuka moja ya hits zake SAUTI YA MANKA naikubali hadi leo
Back
Top Bottom