Recent content by sosopi pa

  1. S

    PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    huyu MZEE wa msituni kweli ameziilisha kwani ametia aibu mburura, kwani hata hivyo boss wao baba riz ana nke/wake kila Mkoa, sasa hawa vibara akina Komba wanaiga kutoka kwa boss wao
  2. S

    Rostam Aziz afiwa na baba yake mzazi Leo

    pole Mh. wa siasa za maji taka na siasa uchwara, mungu akupeni subira kwa kipindi hiki kigumu
  3. S

    CHANGE OF PLAN: Jesca Kishoa Kumkabili Mwigulu 2015 Iramba, Morali Yarejea!

    Acha mazarau we we chalii wa walk we we. Hapa unapoteza muda turn imekula kwa wewe
  4. S

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Mh. inatakiwa uwe makini sana hii ni tanzania ya watu wote, hakuna aliye na haki kuliko mwingine juu ya TZ hii, km unahusika na hili believe or not one day u will realize ur self if not ur colleagues who supported to do wat u did
  5. S

    Ben Saanane: Hazina kubwa ndani ya CHADEMA na siasa za Tz

    hili ni tatizo cdm let us be careful na huyu bwana
  6. S

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Jembe UHURU lazima ashinde
  7. S

    Mh Rais, Dr. Kikwete nakukumbushia ahadi ya Train ya kasi

    QUOTE=sosopi pa; (YOUR NOT ONLY RESPONSIBLE FOR WHAT YOU SAY BUT ALSO YOUR RESPONSIBLE FOR WHAT YOU NOT SAY)
  8. S

    Mh Rais, Dr. Kikwete nakukumbushia ahadi ya Train ya kasi

    WANA JF kikwete ni mlaghai na ni dhaifu, nafikiri wengi wetu hatuja mfaham vizuri huyu bwana ameahidi invisible and unattainable things, mimi nasema watanzania popote atakako kwenda tudai hakizetu na tutumie uhuru wetu wa kuuliza na kutoa maoni kwa njia ambazo watanzania wengi watapata kusikia...
  9. S

    Balozi wa Tanzania akaribishwa mkutano wa CHADEMA London

    Pipoooooooooooooooooooooozzzzzzzzzz? Makamanda wameamua kile ambacho sikuzote naomba kikuje tokea tanzania, we wish u all the best kwa huo mkutano uwe wa mafanikio, kwani chadema ni mpango wa mungu, watumeweza sasa kujitolea laters join hands them.
  10. S

    Uchaguzi wa Kenya hovyo: Hatuna cha kujifunza kwao

    TUNAIPONGEZA KENYA, WATU WA KENYA NA SERIKALI YA KENYA ZAIDI TUME YA UCHAGUZI IKIONGOZWA NA KIJANA MDOGO SANA MIAKA 34, 2013 HALLAH! KENYA!!!!!!!!!!!! Uchaguzi wa jilani zetu na wana jamii moja ya africa mashariki uwe mwanga na kioo kwetu watanzania na serikali hasa tume ya uchaguzi, Kenya...
  11. S

    Mnyika atangaza maandamano tarehe 16 Machi

    KAMANDA AMINI KWAMBA MUITIKIO UTAKUWA MKUBWA SANA, MAANA MAKAMNDA WANAKUAMINI SANA, KWA HIYO TUENDELEE KUPEANA HABARI VIZURI, TUENDE TUKAIAMBIE HIYO SERIKALI LEGELEGE YA MA-CCM, KUONYESHA UDHAIFU WA KIKWETE NA UPUUZI WA MA-CCM, PIA NI UZEMBEWA BUNGE LINALO ONGOZA KUPIGA MEZA TU. No comment
  12. S

    Kwa nini web ya ajira (moe.go.tz haifunguki muda huu?)

    Ni kawaida yao kwani wakishapeana wao kwanzanidiyo wanarealize
  13. S

    JOB VACANCIES AT CHADEMA – Western Lake Province

    nimeipenda sana hiyo weldone chairperson wa kanda ya ziwa magharibi, applicants should note that," chadema tunapeana au kugawana majukumu na sio madaraka"
  14. S

    James Ole Milya CHADEMA ni mtetezi wa wanyonge au Mnyang'anyi wa wanyonge?

    nafikiri watanzani tuwe wavumili tusihuku kabla ya kuta ukweli mi nafikiri ole mliya akanushe au basi akubali
  15. S

    CHADEMA: Tutasimamisha mgombea urais Zanzibar

    Safi sana hizo zote ni harakati za kuikomboa Tanzania
Back
Top Bottom