Recent content by Sorokotokuli

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Du hata mimi sijapata wametokaje?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mahela kwenye account yangu ya banki,Nifanyeje jamani?

    Achana nazo zinamoto! Ukizila kubali kuliwa! Chezea 'jela wewe' utakuwa baby black badala ya baby white!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maisha kwenye sayari ya mars

    Your views are based on illutions ideas! Where did you got that scientific research? P'se give us a link...! Muongo mkubwa!
  4. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

    Rest in peace madame!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dunia inakwenda wapi? "Mtoto alazimishwa kula mbegu za kiume"

    wananzengo si wachukue sheria mikononi?mbona kibaka akiiba kuku anauawa? Kwa nini isiwe kwa hao wazazi? Ataghafullulah!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Dini Hugawa Watu! Serikali, Siasa na Michezo huunganisha Watu

    ebwana nimekupata vizuri sana mchango wako umefafanua vizuri sana! Heko.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbona China haiwekezi kwenye umeme?

    sasa unamdhikaki nani wakati we mwenye ni blackman? Labda we ndiyo mlozi! Nani alikwambia mars kuna wadudu?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

    Hawapo peke yao wapo na wakerewe ni zaidi ya wanyakyusa kwa majungu!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Madem Ni Watu Wa Ajabu Na Ni Ma-punk Sana!!

    Usimaindi mbona hizo ni issue za kawaida.unajua kuna 'milupo'na mademu angekuwa mlupo hakika hii story isingekuwepo kwa kuwa ungesha win long time! Ni kwa sababu huyo ni demu ndio maana amekuwa na nyodo baada ya kujishebedua kwa muda mrefu! Ndio kawaida yao wala hujakosea kumuapproarch baada ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kifafa chahusishwa na ulaji wa "Kitimoto"

    ole wao wanafiki wakubwa kama wewe,hata nawe unaikana poak! Ama kweli akatukanae hakuchagulie tusi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kifafa chahusishwa na ulaji wa "Kitimoto"

    Mbona elimu ya Form IV hiyo. Madhara ya mategu If it is true that Taenia solium sp cause epilepsy, no body can stay safe! Probably vergetalian due to the facts that,tapeworms species are found in many vertebrates such as mammals like goat,ship,cow,PIGS,rabbits and other herbivorus.birds...
  12. S

    JamiiForums Tanzania January Makamba

    Unaposema ana brain smart una maana gani? Maana kuna vichwa ambavyo pengine visingezaliwa sijui dunia hii ingekuwaje for instance Michael Faraday,SIR ISSACK NEWTON, Nelson Mandela na wengine wengiiii! Sasa huyu kijana ana lipi jipya zaidi ya kusugua kucha barber shop? Acha hizo bro!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wauza dawa 462 kote nchini wakutwa na vyeti bandia

    Hii ndio Tanzania tunayoitaka! kila idara ni balaa tupu,hakuna jipya kumbuka ni fani hiyo hiyo pale walipo ishangaza dunia kwa kufanya operation ya kichwa badala ya mguu and vice versa! Sembuse vyeti feki.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kasulu bado kuna watu wanalalia vya miti!

    Nikiwa maeneo ya soko la shayo nashangaa kuona lundo la vitanda vilivyo tengenezwa kwa miti kama vichanja,namuuliza muuzaji bei gani kitanda kimoja nchi 5 kwa 6 bei ni elfu 8000/=tsh! Du leka tutigite! Jamaa anatafuta mtu wakala maeneo mbalimbali! Nchini Contact +2557857733755
Back
Top Bottom