Rimidyo ya primary ndio ikoje hio.
Nakumbuka nikiwa class 6 kuna ile mitihani ya cluster za kata shule kama 12. Sasa kuna mtihani nilipewa majibu na mwalimu kule chooni 100% na bado sikutoboa.
Sasa sijui waalimu ma wao vilaza kwa mitihani wanayotunga au izo grade ni just to fill the timetable
Mkuu iyo M30 ni awamu moja ziko awamu 3. Tanzania iliamua kulipa milion 90 USD kwa kuwa kulikuwa na hatari ya kudaiwa dola za Marekani milioni 109.5 kama ilivyokuwa imetolewa na ICSID mwezi Februari 2024. Malipo haya yako katika vipande vikuu vitatu, na Tanzania itakuwa na muda hadi march 2025...
Maisha ni haya haya tuu. Mtu hakuwa na internet wala simu ila alikuwa na mbuzi, ngombe kuku miti ya matunda hata kwa jirani anapata bure. Wanyama pori ilikuwa mnakimbiza mnaua tuu mnakula nyama choma na pombe za asili inayobaki mnakausha. Hapakuwa na maradhi kama karne hizi. So maisha ni yale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.