Uagizaji magari nje ni kufuru

Uagizaji magari nje ni kufuru

Samia ameruhusu mzunguko wa hela , yule jamaa hakutaka watu wawe na hela aliwaza mabarabara tuu bila kujali mnaishije alikuwa Raisi wa hovyo sana , Samia akiondoka leo ni mwaka mmoja tuu mtaanza kumlilia , Rai yangu Jijengeni mapema kiuchumi kabla Samia hajatoka madarakani!!!
Magufuli alijenga barabara ipi? Mbona km siyo raia wa nchi hii? Magu alijenga barabara ya Km 50 tu kutoka Mwigumbi-Maswa-Bariadi. Aliyejenga barabara za lami nchi hii ni Kikwete tu. Magu aliua watu kiuchumi.
 
Sasa mtu kuagiza usafiri wake na kumuhusisha Raisi vinaingiliana vipi?
 
Pesa ipo mtaani ni vile watu tunataka tukae tuu muamala usome kwa simu. Hustlers wanatengeneza hela nzuri mtaani saivi
 
Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani watu walioagiza/kununua Vifaa vya Usafirishaji nje kama magari, pikipiki, baiskeli na vinginevyo thamani yavyo ilifikia $738.1 sawa na TZS1.9Trilioni baada ya Rais samia kuingia madarakani vifaa vya usafiri na usafirishaji vilivyoagizwa nje vilifikia thamani ya $1,892.0 sawa na TZS5Trilioni ikiwa ongezeko la 20.4%. sawa na ongezeko jipya la TZS3.1Trilioni.Hii inaashiria kuwa Watanzania sasa na wao wanabadili magari kulingana na namba ya gari au mwaka iliyotengenezwa.
sawa
 
Magufuli alijenga barabara ipi? Mbona km siyo raia wa nchi hii? Magu alijenga barabara ya Km 50 tu kutoka Mwigumbi-Maswa-Bariadi. Aliyejenga barabara za lami nchi hii ni Kikwete tu. Magu aliua watu kiuchumi.
km 1,000 tu
 
Back
Top Bottom