Recent content by sony2

  1. S

    JamiiForums Tanzania Final Submission ya Lissu leo imenitoa machozi. Imeweka wazi jinsi Polisi kwa kushirikiana na DPP inavyoonea watu kwa mashitaka ya uongo!

    Kesi kubwa ya uhaini mashahidi ni bodaboda badala ya wakuu wa vyombo vya usalama hii zaidi ya vituko
  2. S

    JamiiForums Tanzania Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

    Duniani kote hakuna mhaini mmoja lazima connection iwepo silaha na dhamira ya kuua viongozi wakuu wa nchi haya twambie lissu alitaka kumuua nani mmoja wapo hapo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika amejibu vizuri sana

    Hakuna cha hatia, uhaini ni vitendo sio maneno
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uzungu' na 'uarabu' umejificha nyuma ya pazia la madai ya katiba mpya. Tusipokuwa makini, taifa litaangamia

    Tunataka katiba mpya ili tufaidi matunda mazuri ya nchi maana ya sasa imempa RAIS madaraka makubwa kama dhahabu ikipatikana kwenye shamba langu linataifishwa na mimi sifaidiki na chochote
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, hatua hii ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani?

    Kwa vile mashitaka yenyewe ya kijinga ni sahihi hao mashahidi kuitwa wakaelezee huo uhaini wa mtu 1 unafanyikaje
  6. S

    JamiiForums Tanzania Seriously, hivi Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?

    Anashangilia kupata asilimia 98 halafu anasisitiza maridhiano sijui ya nini?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kenya nzima IPO gizani, wenda Tanzania ikawa gizani siku 3

    Tanga tupo gizani
  8. S

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Prof. Tibaijuka anaposema Lissu ni kete muhimu katika maridhiano inamaana haoni athari alizoleta kwa Taifa? Au ni athari za kukosa cheo?

    Makaburu walifanya unyama ila kwenye south Africa kwenye maridhiano walikuwa kete muhimu mpaka south Africa imekuwa kimbilio la watoto wenu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Walipokusanyika wanajeshi wao ndipo tulipopiga makombora yetu.- Iran 🇮🇷

    Iran waliposema eti watazima starlink nikaona ni booge la waongo satellite unaizimaje wakati huimiliki?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jamal Bakhresa: TFF imeharibu mpira wa Tanganyika. Azam FC nitaihamishia Zanzibar

    Simba hadi anajichagulia marefa wa kuchezesha mpira hiyo si aibu! Arsenal yule Michael Oliver uwa anakomesha match zao zote akichezesha yeye ila hawajawahi kumkataa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwasili nchini Urusi kwa ziara ya kitaifa

    Ndio apokelewe na mkuu wa mkoa?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kosa la uhaini kwa mujibu wa sheria ni kufungwa kifungo cha maisha, kunyongwa hadi kufa au vyote kwa pamoja

    Na uhaini kwa mujibu wa Sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania uhaini ni kukusudia kumuua rais makamu na primer Minister sasa alitaka kumuua nani?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kifungu 308 cha CPA anachotumia Katunga kinahusu SHAHIDI MPYA siyo USHAHIDI MPYA

    Basi jaji mkuu ataenda kubadilisha sheria kama ya mashahidi wa siri
Back
Top Bottom