Recent content by sonovman

  1. sonovman

    JamiiForums Tanzania Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

    Ila udsm inawaumiza vichwa sana! Au ndo mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?
  2. sonovman

    JamiiForums Tanzania Mbowe ana majina yake Mfukoni Ubunge wa Afrika ya Mashariki

    Haya mawazo sio ya Ku entertain kabisa kwa mtu anayejielewa! Wa bunge wanaochaguliwa ni wawakilishi wa watanzania wote na ndo maana Hata fisiem wanawapigia kura so suala la kuhoji mchakato c la CDMA tu mtu yeyote anaweza kutoa anachohisi ni sahihi japo co lazma ushauri wake ukubaliwe. Serikari...
  3. sonovman

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na dhana ya akili nyingi huondoa maarifa

    Hii inakumbusha uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, ccm walitumia nguvu nyingi sana kuhakikisha masha anatwaa kwa Mara nyingine jimbo la nyamagana kwa kila mbinu lkn ikawa imeshindikana wakajikuta hadi la ilemela walilojua litachukuliwa kirahisi tu nalo wakashindwa, CDMA wanajua fika cheche za wenje na...
  4. sonovman

    JamiiForums Tanzania Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

    Nyani ngabu Faizafox Miss chagga The bold, kiukweli nawakubali
  5. sonovman

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta nae kumbe ana kiingereza kama cha Mrisho Ngassa

    Mm bnafsi huwa najiuliza; HV lugha ya kiingereza ina marufuku ya kutokosewa au lugha zingine nazo tunazozitumia as 2nd languages nazo huruhusiwi kukosea? Kma ni zote kile kiswahili alichokua anaongea raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta cku ya uzinduzi wa mradi wa uchimbaji wa mafuta kilikuwa sahihi...
  6. sonovman

    JamiiForums Tanzania Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    *UDSM mm cjasoma udom na wala Hata kufika japo nacmliwa kuwa ni bonge la chuo
  7. sonovman

    JamiiForums Tanzania Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    Ckuamini mtu tulie ahidiana akiwa form one mm form tu! Mnamaliza chuo kikuu ananiambia kuolewa na ww itakuwa ngumu!!! Hapo ni baada ya yy kupata ajira ya certificate. Baada ya cku kadhaa nackia wameleta mahari kwao kwa mshikaji nnaye mfaham. Tangia hapo nikaaminu hawa wenzeti wa jinsia jirani co...
  8. sonovman

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Twalibu Tanzania - kyanyari sec.schools
  9. sonovman

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atekwa afanyiwa unyama Jijini Arusha

    Pole sana mwl kwa yaliokukuta!
  10. sonovman

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Frank Msigwa aomba radhi mtandaoni, nasisitiza Sheria ifuate mkondo wake

    Hiyo kazi maalum unaijua ww! Kwani siruhusiwi kuchangia? Au unaendeshwa na mihemuko na ww?
  11. sonovman

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Frank Msigwa aomba radhi mtandaoni, nasisitiza Sheria ifuate mkondo wake

    Kiukweli nimegundua utu kwa watanzania wengi umeanza kupungua wote tumekuwa wakuendeshwa kwa mihemko! Nani humu hajawahi kukosea mpaka kumwona mwenzio ndo kafanya kitendo cha kinyama kisichohitaji msamaha? Mbona mtu anaua lkn kesi zipo Mara mbili kwamba kaua kwa kukusudia au bila kukusudia, hebu...
  12. sonovman

    JamiiForums Tanzania Benki zadaiwa kusitisha mikopo kwa watumishi wa umma kwa muda usiojulikana!

    Hujui hao watumishi nao wana nafasi kwa familia zao ktk kupiga kura!
  13. sonovman

    JamiiForums Tanzania Dewji ashika namba moja kinara wa uchumi Afrika

    Congratulation Mo
  14. sonovman

    JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kutoboa macho Buguruni DSM apandishwa Kizimbani

    Nashindwa kuelewa vyombo vya ulinzi na usalama wa RAIA hapa nchini, hivi wapo kulinda amani au wapo tukio kutokea wachukue hatua? Uwanjani wapo viti vikang'olewa na hapo wanalipwa eti walinzi!!! Sasa wameharibu huku wakiwepo inabidi na wao wahusike kutotimiza wajibu wao!! Leo mtu anatolewa macho...
Back
Top Bottom