LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
Tutajieni hizo biashara zake na turnover zake.
najua MO Insurance ni Ya mwisho kati ya kampuni 25 za Bima Tanzania...
Mkuu nakubaliana na wewe,Watanzania wengi tupo uninformed kupita maelezo,tunaamini anything Mo anachofanya na kutuaminisha...anajenga taswira ya this dude larger than life ila kumbe ni a fish in pond full of sharks and whales...
Akishapata hii persona,ikikaa vichwani mwa jamii kama sala then anaweza manipulate government an banks kwa hii image kupata chochote anachotaka...Larger than life persona he is building,hakuna ukweli wowote,hakuna basis ya hizi claims zake na team yake