Recent content by sonofsun

  1. sonofsun

    Mliowahi ku-date/kuoa/kuolewa na wazungu let's share changamoto mlizokutana nazo. Au ni kama wabongo tu?

    Njoo huku Arusha tukiwapa kitu tunawachapa hadi kwenye mashamba ya kahawa. Kuna mtu alisema wengi hua rejected kwao. This is very true wengi hua na stress za kukataliwa either na familia au boyfriend na akija bongo anafanya sex for fun
  2. sonofsun

    Mliowahi ku-date/kuoa/kuolewa na wazungu let's share changamoto mlizokutana nazo. Au ni kama wabongo tu?

    Nna bad experience na hawa watu. Ntarudi ku share ila they're very selfishness. Na mambo za 50/50 ndo agenda yao
  3. sonofsun

    Michirizi ya Damu

    Bas sawa bado tupo pamoja
  4. sonofsun

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Poa hmna shida boss nakucheck asap
  5. sonofsun

    Ukurasa wa kujadili hot threads: Naanza na hii "Huyu ndiye mwanaume ninayemtaka"

    Nlicheka mtu mmoja alimjibu nani akuzalie mwanaume mwenye sifa zote hizo, eti zaa wa kwako mwenye hizo sifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. sonofsun

    Maisha ya Norway yapoje?

    Definitely true
  7. sonofsun

    Wauza smartphone tukutane hapa

    LG Nexus 5 inauzwa bei sawa na bure 200,000 Tshs Meiuz inauzwa bei sawa na bure 300,000
  8. sonofsun

    Maisha ya Norway yapoje?

    Hao wapolish ni wangese sana, they are very closed minded. Afu racist sana. Nmekaa na baadhi ya wazungu katika volunteering org. Hakuna watu poa Kama wafaransa na scanavia people; Swedish na Norwegian wapo poa sana. Eastern Europe ndo kwa kifala hakuna maisha afu wabaguzi kinoma
  9. sonofsun

    Maisha ya Norway yapoje?

    Kuna mzungu anatokea kragero Norway alikua vacation bongo mwaka huu, hobby yake n kusafiri anakwambia haitaji permanently job huko Norway kwasababu most of his time anakua anasafiri so kazi yake kubwa ni waiter mbele akipiga kazi serious miez 3 ana save pesa ya kusafiri miezi 6 Africa na...
  10. sonofsun

    Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. sonofsun

    Kesto laiti

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. sonofsun

    Njia ya kuongeza hamu ya kufanya mapenzi kwa wanawake

    Mzee Baba vinapatikana wapi ivyo ? Vipi price yake ?
  13. sonofsun

    Tunaelekea kwenye pure artificial intelligence

    Ngoja nishike siti ntarudi
Back
Top Bottom