Burudani sio kanuni maalum,ni jambo lolote la kufanya mtu afurahi, a relax asisimke, kama unakerwa na mikelele au kuambiwa mikono juu basi kuna wengine izo ndo stimu zao,kuna taarabu,bongo fleva,miziki ya Ala, Muziki wa Dansi n.k. Mshamba ni yule anae penda Muziki wa Dansi halafu anaenda kwa...