Recent content by Song il gok

  1. Song il gok

    JamiiForums Tanzania Baada ya kustaafu katelekezwa na mke na watoto wake. Anaugua ugonjwa wa akili kwa sasa

    Kuna story kama hii pia Kisongo-Arusha....ila mke wa mzee ni Mmeru balaaa sana mzee ameamua kunywa banana tu sasa kupunguza mawazo
  2. Song il gok

    JamiiForums Tanzania I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Haina shida hata kama ni GB 500
  3. Song il gok

    JamiiForums Tanzania I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Mkuu na mimi naomba pdf yake mkuu
  4. Song il gok

    JamiiForums Tanzania I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Tuko team moja.. Dahlia mihemko imemzidi sana.
  5. Song il gok

    JamiiForums Tanzania I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Mkuu, huna pdf ya hii kitu yote maana kwenye link nimesoma yote but hawajafika mwisho bado.
  6. Song il gok

    JamiiForums Tanzania Neema Swai: Rubani ATCL aliyerusha ndege ya mizigo kutoka Marekani

    Kelvin Obed Swai...... Senior Development & Reliability Engineer at Precision Air. Jamaa yuko smart sana, amesoma chuu kikuu Cha St. Petersburg , huko Russia
  7. Song il gok

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mabasi ya "No Challenge" kuitwa "Tashriff"

    Air Msae zilikuwa zinamilikiwa na Wilbard Mtenga alibadilisha jina na kuziita Metro Coach, hazijawahi kuitwa Kilimanjaro
  8. Song il gok

    JamiiForums Tanzania Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

    Interesting
  9. Song il gok

    JamiiForums Tanzania Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

    Shengena one hapa dom langu miaka karibia 10+ iliopita
  10. Song il gok

    JamiiForums Tanzania Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

    Babati kuna don mmoja anayo mzee acha kabisa
  11. Song il gok

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya miaka 100 ya Shule ya Sekondari ya Old Moshi. Tukutane Wahandisi tuliosoma hapo

    My school...... Shengena one ndio bweni langu...tumekula sana pilau kwa kuongoza usafi kila mara
  12. Song il gok

    JamiiForums Tanzania Hivi Azam mnapohamisha kuonyesha mechi kwenda ZBC AU Azam Extra huwa mnamtaarifu nani ?

    Mkuu Azam Sports 3 ipo tayari
  13. Song il gok

    JamiiForums Tanzania Kumi bora ya Bar za Arusha zisizoshuka viwango miaka yote

    Kiwanja changu miaka nenda ,miaka rudi
  14. Song il gok

    JamiiForums Tanzania Kumi bora ya Bar za Arusha zisizoshuka viwango miaka yote

    Mzee Urassa alianzisha The Picnic mwaka 1977/78
Back
Top Bottom