Recent content by sonashi

  1. sonashi

    JamiiForums Tanzania Kujiunga Chuo baada ya kumaliza Kidato cha Nne

    Naomba ufafanuzi kwa anayejua, nimelipia ada ya chuo kikuu baada ya muda tukapata mkopo wa elimu je ile ada yangu nitarudishiwa au itapotelea huko ?
  2. sonashi

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Hivi ukiwa umelipia ada ya chuo kikuu mapema halafu ukapata bahati ya mkopo wa elimu ya juu, je ile ada nitarudishiwa?
  3. sonashi

    JamiiForums Tanzania Kujiunga Chuo baada ya kumaliza Kidato cha Nne

    Kuna ndugu yangu kapata alama; Civ-E, Hist-D, Geo-D, Kisw-C, Engl-B, Phy-E, chem-D, Bio-C, Math-E. kozi gani inamfaa ambayo ipo hapa Dar ?
  4. sonashi

    JamiiForums Tanzania Wajuzi msaada, aliyechora ramani ya dunia

    Wengine hatukuona majibu hayo !!
  5. sonashi

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ni Control Box Mkuu
  6. sonashi

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Natafuta hiki kifaa haraka wapi naweza kukipata ?
  7. sonashi

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Natafuta kifaa hiki haraka kwa yeyote anayejua jinsi ya kukipata anisaidie
  8. sonashi

    JamiiForums Tanzania Kufungua bwalo la Jeshi uraiani si sahihi

    Kweli kabisa, kuna vitengo vitakuwa havina umuhimu tena katika biashara hizi za vinywaji vikali na baridi. Mimi nafikiri hizi bei za vinywaji hivi ilikuwa ni maalumu kwa watu maalumu, na sehemu maalumu ambazo watu hao maalumu wanaishi ili kuwaburudisha kutokana na majukumu yao maalum.:msela:
  9. sonashi

    JamiiForums Tanzania Kufungua bwalo la Jeshi uraiani si sahihi

    Mtoa mada frame vizuri statement yako maana ni kweli kabisa, Baada ya shughuli zangu za shamba wikiendi nataka kurudi nyumbani, shambaboy wangu kaniambia boss wakati wa kuondoka nikuoneshe sehemu ya bia ya bei chee, kweli tulifika hapo yaani hata viti tukakosa lakini maeneo yenyewe ni uswahilini...
  10. sonashi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi wa magari aina ya NISSAN kutoka UK

    Tafadhali kwa mwanajamvi yeyote anayemfahamu fundi umeme wa magari aina ya NISSAN kutoka UK ani inbox namba zake tuongee naye.
  11. sonashi

    JamiiForums Tanzania BASATA kumvua taji miss Tanzania 2014 kwa kudanganya umri

    Bibi Bomba amelikoroga lazima alinywe, bora alivue taji mapema kabla hajavuliwa huo ni ukweli!! na huyu Lundenga kila mara anatajwa kwa kashfa kwentye hii tasnia ya ulimbwende, kwani haiwezekani kuondolewa ? BASATA mnafanya nn ?
  12. sonashi

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kubadili Engine ya Hii Nissan

    Nashukuru mkuu namtafuta muda huu
  13. sonashi

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kubadili Engine ya Hii Nissan

    MV Mechanics ndani ya JF msaada wenu unahitajika sana sana
  14. sonashi

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kubadili Engine ya Hii Nissan

    Naomba msaada kwa wataalamu wa magari ili niweze kujua ni engine gani ya Toyota inafaa hapa baada ya hii nissan GA 16 ya ulaya kunisumbua sana naomba msaada wenu.
Back
Top Bottom