Kufungua Bwalo la jeshi uraiani ni kuwaumiza wafanyabiashara wengine ambao wanalipa TRA na Leseni. Hilo bwalo linatakiwa kubaki kambini.
Au ni ujanja wa kuwekeza kwenye biashara zenu binafsi?
Maana bia zinaletwa lakini baada ya siku mbili vinywaji vyote vimeisha.