Recent content by SON OF MY PARENTS

  1. S

    Maoni: Prof Kaaya and Co. (Innocent Swai) mnakiua Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS) Kwa Ubaguzi

    Mkuu sidhani kama madai yako ni sahihi sana....Hosteli ni kazi ya warden, udahili TCU, notes wengi tu wanatoa labda Nyambo ndy msumbufu, past papers zimejaa kagera stationary, ukabila cjui unahusikaje MUHAS, huko clinical cjui
  2. S

    Tuepuke sumu hizi: Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena

    You will never be able to separate Roman Catholic and world politics.... In short they are the one who runs the world. Even USA is under Papacy .... Marais wote wakristo Tanzania ni wakatoliki... Why??? Jijibu mwenyew... Ila pia wanaokuita mdini wanakisoea since vyote ulivyosema ni sahihi....
  3. S

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yakanusha Taarifa kuwa Haina Fedha za kulipa wanafunzi

    Na magamba ni yale yale..... Wamesambaza pay sheet hewa.. Sheet hazina muhuri wala sahihi..... Walisema wanafanya uhakiki lakn sheet zimeandaliwa tar 30 May wakat uhakiki walifanya tar 15 June... Uhakiki wa nn wakat sheet mmeshaandaa??? Figisu figisu mpango mzma
  4. S

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yakanusha Taarifa kuwa Haina Fedha za kulipa wanafunzi

    And by the way I'm not a politician... I think hujawah kuona comment yang yoyote huku except today ... I just commented bcoz I know the real situation and you people trying to cover the truth....... Unaleta siasa wakati watu tunaumia..... Jumatano wanatusambazia magazeti ya Jambo Leo et tuone...
  5. S

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yakanusha Taarifa kuwa Haina Fedha za kulipa wanafunzi

    Kwan anayesign ni Nan kama cyo Mwanachuo???? Au unategemea Loan officer ndy awasainie wanafunzi au???? Try to use your brain before posting nonsense
  6. S

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yakanusha Taarifa kuwa Haina Fedha za kulipa wanafunzi

    Yaan dah........ Inaumiza.....Watu wengine wanashindia mikate na maji kila cku..... Wengine tunaishi off campuses... Nauli kila cku bado hujadaiwa hela ya LUKU.. Mara maji............. It's so painful to live like a beggar in your own country......
  7. S

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yakanusha Taarifa kuwa Haina Fedha za kulipa wanafunzi

    Hebu tafuteni uongo mwingine bas.... Mm ni Mwanachuo na hakuna Pay sheet yoyote iliyofika vyuoni.... Hadi Jana Majibu ya bodi ni kwamba hawajapewa hela na Hazina.......
  8. S

    Kanisa lazuia waumini 4,000 kujiandikisha BVR, lasema ni kinyume na imani yao

    Mtuma post unaposema wasabato masalia unamaanisha nini??? Una uhakika wasabato wanakatazwa kama hao??? Kama huna uhakika na kitu its better to keep quite.....!! Usichukulie msimamo wa mtu kuwa msimamo wa kanisa.. Mbona Ben Carson ni msabato na anataka kugombea urais..
  9. S

    Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Nafurahi umeona mafuriko....Hebu katafute statistics uone kati ya hao unaowaita wasomi na wasio wasomi wengi ni wap.. Natamani nijue upo mazingira gani na elimu yako ni level gani.. Unategemea wasomi thn una neglet wanavyuo.....??? Sijui wasomi gani unawategemea
  10. S

    Muhimbili wamethubutu na wameweza

    Ukitoa rushwa MNH ni uzembe, uvivu au uelewa mdogo
  11. S

    Muhimbili wamethubutu na wameweza

    labda baada ya miaka kumi. Ujenzi wenyewe ndy upo hatua za mwanzo ila utasikia mwakani tutahamia. A lot of politics..
  12. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kila chama kipo kwa maslah binafsi! CHADEMA na CUF wanataka kupata madaraka via serikal 3 while CCM hawataki kung'oka via serikali mbili!! Ili kupunguza gharama its better kuwa na serikali MOJA tu since watumishi wa serikali watapunguzwa!
Back
Top Bottom