SON OF MY PARENTS
Member
- Apr 18, 2014
- 14
- 6
Kuna ukiritimba wa hali ya juu sana MNH.. Hakuna fairness, rushwa ya vitu vidogo vidogo, fikiria kufata file tu toka block moja kwenda lingine mtu bado anatoa kidogo. Then unakuja kusema eti huduma zimeimarishwa..
Ukitoa rushwa MNH ni uzembe, uvivu au uelewa mdogo