Elim Camp Coaching tumeamua kumsaidia mwanafunzi wa kidato cha 4. Tunamsaidia kwa njia kuu mbili;
1. Tuna mfundisha kwa njia ya maswali tu, jinsi ya ku solve maswali ya #NECTA kwa masomo yote ambayo ni sumbufu,,, kama Hesabu, Physics, Chemistry Geography, English... Kwa gharama ya Tshs 4,000/=...