Elim Camp Coaching

Son of King

New Member
Feb 17, 2016
4
1
We Coach, You Play...
Tunawafundisha wanafunzi wa kidato vha Nne na hata kidato cha 6. Tuna waandaa kwa maswali tu kuanzia Mwezi April 30. Itakuwa ni kila Jumamosi ya wiki.
Kuanzia May tutaanza kuwapa mitihani wanafunzi kwa mfumo wa NECTA mpaka watakapo ingia kufanya mtihani wa mwisho.
Coaching Fee: 4,000
Examination Fee: Bure

Karibuni na mwambie mdogo wako, ndugu yako na hata Jirani yako.
 

Attachments

  • IMG-20160309-WA0003[1].jpg
    IMG-20160309-WA0003[1].jpg
    150.6 KB · Views: 28
Back
Top Bottom