Recent content by Son of God

  1. Son of God

    Gazeti la Tanzania Yetu linauzwa

    Gazeti la Tanzania Yetu linauzwa. Mnunuzi serious awasiliane wahusika 0785 400 200.
  2. Son of God

    IGP Sirro Afanya Mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa Mitatu Nchini

    IGP Simon Sirro afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa mitatu,kwa kuona habari hii kwa kirefu fungua link hii IGP Simon Sirro afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa mitatu - Habari Mtaa
  3. Son of God

    Kutoka ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, Mkutano mkuu wa Sekta ya Madini

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima amemshauri rais Magufuli kuunda timu au bodi ya watu wachache wenye ufahamu na uelewa wa siasa ya biashara ya madini kimataifa habari zaidi fungua link hii Askofu Gwajima amshauri Rais Magufuli kuhusu biashara ya madini. - Habari Mtaa
  4. Son of God

    Kwanini wanaotangaza nafasi za ajira za kazi akiomba mlemavu inakuwa ngumu kumpa kazi?

    Hii ni kweli kabisa,taasisi mbalimbali nchini hii dhambi ya ubaguzi kwa Mungu watakuja kuijibu,mimi nina dada yangu flani aliwahi kufanya interview Haki Elimu mpaka hatua ya mwisho wakampigia simu kuja kuongea makubaliano ili kukamilisha taratibu baada ya kumwona ni mremavu wa mkono wa kushoto...
  5. Son of God

    Serikali yakanusha taarifa iliyoeleza kuwa kuna viashiria vya kuwepo kwa kundi la Al-Shabaab nchini

    Serikali yakanusha taarifa ya CCTV Africa kuwa Tanzania kuna tishio la Al Shabaab habari zaidi fungua link hii Serikali yakanusha taarifa ya CCTV kuwa Tanzania kuna tishio la Al Shabaab - Habari Mtaa
  6. Son of God

    Katibu wa chama Cha mapinduzi wilaya ya Hai amekamatwa na Jeshi la polisi

    Katibu wa CCM wilaya ya Hai, Laurence Kumotola, amekamatwa na polisi kwa tuhuma ya kuwazuia askari kufanya kazi yao ya ulinzi, wakati wakitaka kuingia katika ofisi za halmashauri ya wilaya ya Hai. Kufuatilia habarii zaidi fuatilia link hii Katibu wa CCM Wilaya akamatwa kwenye Maandamano -...
  7. Son of God

    Hospital ya KCMC yasitisha huduma kwa watumiaji wa bima za AAR, JUBILEE na NSSF

    Hospitali ya Rufaa ya KCMC iliyopo mkoani Kilimanjaro imesitisha kutoa huduma kwa wafanyakazi wa makampuni saba yanayotumia bima za afya kutokana makapuni hayo kudaiwa zaidi ya shilingi bilioni 2.2. Taarifa zaidi fungua link hii KCMC Yasitisha Kutoa Huduma ya Bima Kwa baadhi ya Makampuni. -...
  8. Son of God

    Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

    Kufuatia shambulio la kigaidi lililotokea nchini kenya jijini Nairobi la mlipuko wa mabomu na kufyatuliwa kwa risasi katika hoteli ya kifahari iliyoko mtaa wa Riverside, kundi la kigaidi la Al-shabab wamekiri kuhusika katika shambulio hilo. Fuatilia habari hii kwa kina katika link hii Al-Shabab...
  9. Son of God

    Mtoto wa kiume wa mwl. Christopher Mwakasege afariki dunia hospitali ya Agha Khan

    Mwalimu Mwakasege alizungumza na Mungu mambo matatu baada ya kupata taarifa za kifo cha mwanae fuatilia link hii
  10. Son of God

    Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

    Vannessa anatisha!! Mwanamziki gan wa kike Tanzania umeona nyimbo yake inapigwa TRACE.MTV au Channel? Sidhani kama Jdee nyimbo zake zimewahi kupigwa huko zaidi ya East Africa tu.
  11. Son of God

    Dirty church marketing strategies (The case of Gwajima vs Catholics)

    Ahhaa hv kuna dini ya wageni na wenyeji ahaha this is strange....!!
  12. Son of God

    Mnyika is the most brilliant lawmaker!

    Sana...nimemsikiliza leo na jana...jamaaa yuko vzr ndio wabunge tunaowataka bungeni sio kusinzia na kugonga meza kupitisha kila kitu kinachojadiliwa bingeni bila ku urge au reson!! Safi sana.
Back
Top Bottom