Recent content by Somebody’s Son

  1. Somebody’s Son

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nendeni makanisani ila kuweni makini na muwe timamu

    Akili kubwa hii..
  2. Somebody’s Son

    JamiiForums Tanzania Wazo la Mnada wa Magari Yaliyotumika Nchini

    Yaani na mimi ndio nilikuwa nataka kuandika hii comment.. mtoa mada.. i like your thinking..
  3. Somebody’s Son

    JamiiForums Tanzania Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

    umejiuliza huenda Diamond ndio haachwi kuwa huru?
  4. Somebody’s Son

    JamiiForums Tanzania KWELI Chuo cha MUST kimetangaza fursa za masomo bure

    Hii ni kweli??l
  5. Somebody’s Son

    JamiiForums Tanzania Hii kitu imeniuma sana, nimebeba mifuko 70 ya Cement nimelipwa 1500

    Kwahiyo kila mfumo wa cement umelipwa sh 21.. Je uliuliza malipo ni ngapi kabla ya kuanza kazi??
  6. Somebody’s Son

    JamiiForums Tanzania Mnapofanya Maendeleo msisahau kushirikisha ndugu zenu hata Kama mna ugomvi

    Nina Jirani ( sasa ni marehemu) alikuwa na Mgogoro na mke wake, kuhusu Mgogoro wao hatukujua mpaka jirani alipofariki. Sasa hii story ni mrefu ila Kwa unduly Jirani alijenga nyumba ya biashara ( guest house, na frame za maduka) maeneo ya Kigamboni bila mke wala watoto kufahamu, na alipojenga...
  7. Somebody’s Son

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ulomi apotea, familia na Polisi wanamtafuta

    huyu dogo mbona wanasema TISS
  8. Somebody’s Son

    JamiiForums Tanzania Weka hapa tabia za ovyo za madereva wa bongo zilizojaa ushamba, ubabe, chuki na usela

    Mi najua horn ni pembe mi nilijua Horn ni pembe!
  9. Somebody’s Son

    JamiiForums Tanzania Inapendeza kwa viongozi wa kitaifa kuwa na wenzi wao kwenye ziara maalumu kuepusha yaliyotokea Bolivia

    Kwa ambao hamjui yaliyotokea Bolivia Gusa link sogea telegram 😅😅
  10. Somebody’s Son

    JamiiForums Tanzania Weka hapa tabia za ovyo za madereva wa bongo zilizojaa ushamba, ubabe, chuki na usela

    Kuna ile mtu amevimba katikati ya barabara ( hususani usiku) akiamini atatembea upesi kumbe gari ina piston 4 😅😅.
  11. Somebody’s Son

    JamiiForums Tanzania Weka hapa tabia za ovyo za madereva wa bongo zilizojaa ushamba, ubabe, chuki na usela

    Kuna ile taa ya kijani imewaka tu, utasikia honi hapo hapo ushapigiwa ☹️☹️
  12. Somebody’s Son

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui?

    Kunikataza kunywa “ beer”
  13. Somebody’s Son

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya tatu mpenzi wangu bado kasusa kunitakia heri ya mwaka mpya

    Herufi “y” Ina kazi gani kwenye neno “ kitu’?
  14. Somebody’s Son

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujitahidi kuwatunza watoto wetu hata kama tumeachana na Mama zao

    Kuna muda tunabaini hao watoto sio wa kwetu.
Back
Top Bottom