Recent content by Solomonia

  1. S

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Timu 60 odd 9... betpawa . D5A553F Ukiuona wa nini wenzako wanalia wataupata lini😆
  2. S

    Mwanza Igoma; Nauza Mageti ya Milango (Grill)

    huyu dadako mkorofi sana. anataka hela tu kila siku acha niuze Grill tu akatulize komwe saluni
  3. S

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    options huwa zinavurugwa sana hakunaga simple options cha msingi beti timu chache kidogo
  4. S

    Mwanza Igoma; Nauza Mageti ya Milango (Grill)

    Habari za majukumu ladies and Few Gentlemen Nauza Hizi Grill ziko 7. Bei ya Hasara, elfu 95 kila moja. Utaweka kwenye milango yako na unaweza kupunguza kulingana na Size ya Mlango wako. Napatikana Igoma. 0683011003 interested customers
  5. S

    Je, TCRA wana mamlaka yoyote ya kutunga sheria?

    Naomba kufahamu kwa wajuvi wa sheria hapa JF. TCRA ni taasisi inayosimamia mawasiliano hapa TZ. Je hawa watu wanahusika na kutunga sheria? Mfano ni kuhusu hili suala la VPN
  6. S

    Kuna ukweli wowote Blue Coast kuwapiga tafu UDART baada ya kuzidiwa?

    Hivi kuna watu binafsi nchi hii wanajiweza kuliko Serikali?
  7. S

    Kuna Mzungu Mmoja anaishi kota za SUA Sokoine Campus Kilimo Street, anawaingilia wanaume kinyume na maumbile na jamii SUA inajua miaka mingi

    anawaingizia watoto wadogo? wanafunzi wa s/msingi au sekondari? Kuna special grps ambazi endapo zitafanyiwa vitu kama hivyo bas tutachukua hatua
  8. S

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    mkuu ulinipa namba ya mganga yuko Tanga lakini kila siku anafos nimpe hela ya vifaa sijui na madudu gani. kila nikimwambia niko busy subiri haelewi ananipangia mpaka mda wa kufanya shughuli zangu. Kusema kweli nahisi mnafahamiana na huyu mtu, na mnafanya kazi pamoja
  9. S

    Brian Mwenda: Wakili Fake wa Mahakama Kuu ya Kenya aliyewashindia wateja wake Kesi 26 atiwa mbaroni

    kwamba hujawahi kuwasikia hao dr na eng. fake? enzi za magu hawakutumbuliwa?
  10. S

    Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

    saa 24 yani hadi wakiwa usingizini ni kuchapa kazi. Hawa jamaa wako overrated sana
Back
Top Bottom