Kuna ukweli wowote Blue Coast kuwapiga tafu UDART baada ya kuzidiwa?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,059
10,519
Haitaji Akili nyingi kama za Michael Scofield wa Prison Break kujua Service provider kwa jina la Udart amezidiwa na wingi wa abiria huku vitendea kazi vyake muhimu kabisa kama mabasi kuwa mabovu na machakavu so far kitu pekee ambacho amefanikiwa ni kutokuwa na mshindani kitu kinachopelekea abiria kuendelea kuwa watumwa wa huduma mbovu.

Blue Coast sina details nyingi kuhusu wao zaidi ya kuona Scania zao za mafuta zilizosimama zikiendeshwa na madereva smart kwa view ya haraka ni kampuni inayojiweza.

Swali langu hususani kwa wazee wa system aka Deep state kuna ukweli kwamba Blue Coast kupewa tenda kwenye mwendokasi?
 
Back
Top Bottom