Recent content by solars

  1. S

    Mbeya: Aliyemuua mkewe na kumnyofoa viungo ili apate utajiri ahukumiwa kunyongwa

    Na hata kauli tunazotoa kwa watoto wetu, tuwe makini nazo. Utakuta mtu kaudhiwa na mtoto, badala ya kumkanya yeye anakuja na matusi; utamsikia anamwambia mtoto: mbwa we! au paka we! Jamani, maneno yanaumba, atakuja kuwa paka kweli halafu macho yakutoke.
  2. S

    Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

    No, hata kama Witness alisema neno lolote ambalo (labda) lilimuudhi huyo mwalimu mkuu, bado hakupaswa kuchukua hatua yoyote ya kudhuru mwili. Alipaswa kufuata taratibu na sheria. Mwalimu mkuu anatakiwa awe mfano bora kwa walimu na wanafunzi, badala yake anakuwa mtovu wa nidhamu! Huyu kweli...
  3. S

    Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

    Ningeshauri wapate bonus ya kusomeshwa masters kwenye discipline zao, ni rasilimali kwa taifa.
  4. S

    Kashfa kwa Vatikan na kwa kanisa la Romani Katoliki

    Daaah, mkuu, wewe huna dini? Shimo la usahaulifu maana yake nini? Na maandiko hayo umeyapata wapi? Ina maana mkuu huamini kama biblia ni mkusanyiko wa historia ya mambo yaliyotokea kwa watu walioishi nyakati za agano la kale (kabla ya kuzaliwa Kristo) na habari za agano jipya (baada ya kizaliwa...
  5. S

    Seminari Kuu za Kanisa Katoliki kuwa taasisi za elimu ya juu

    Hiyo itategemea vigezo vya TCU katika ngazi mbalimbali za elimu.
  6. S

    Gari latumbukia Baharini Coco Beach

    Okoa inaweza kutumika katika mitazamo/maana mbili. Ya kwanza ndio hiyo uliyosema ya kuokoa uhai wa mtu (au mnyama), lakini ya pili ni kuokoa kitu kisipotee. Kwa hiyo unaweza kuokoa maiti isipotee kwenye maji, mafuriko, nk.
  7. S

    Hivi ni kweliii nguo za mitumba hutupwa Kama taka huko ulaya na baadae kuletwa Africa?

    Kuna baadhi ya nchi hapa Afrika, habari ya mitumba hawaijuwi. Nafikiri hii hutokana na economic situation. Nilikaa kipindi fulani South Africa, habari ya mitumba kwao hawaijuwi.
  8. S

    Katoro Na Tunduma, Saa 12 Asubuhi Ugali na Nyama Choma Inakua Tayari Kwingine huko Vipi?

    Kwa sisi wa vijijini tumezoea kula ugali asubuhi ili mchana upite, kwa watu wa mjini wao wanasema kuna milo mitatu kwa siku. Asante kwa majiji makubwa makubwa kama Mwanza kutambua kuwa kuna watu wanakula asubuhi na jioni na hivyo kupunguza ghalama zisizo za lazima. Ukienda pale Kamanga Fery...
  9. S

    Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

    Hivi nyie madereva bodaboda, kuendesha rough hizo pikipiki ni sifa nzuri kwenu? Kila siku ajali za bodaboda zinazopelekea vifo na ulemavu wa kudumu, hivi mnajisikiaje nyie kuwa wasababishaji? Acheni sifa za kijinga, endesha kwa ustaarabu kwa manufaa ya abiria, wewe mwenyewe na chombo chako...
  10. S

    Karibuni Ruangwa

    Sijawahi kufika Ruangwa, lakini mazungumzo yako katika habari hii yamenifanya niamini kwa asilimia mia (100%). Kwanza, ni kutokana na huyo unayemzungumzia. Nadhani sio mimi tu nimeamini maneno yako; wapo wengi wameamini uliyoyaandika. Kuna watu wakizungumziwa kuwa wameleta maendeleo mahala...
  11. S

    Matukio yasiyosahaulika aliyoyafanya dikteta Idd Amin Dada

    Wananchi wa Uganda hawakusikia habari hizo? Kama walisikia, je, walipaza sauti? Na vipi kuhusu jumuiya za kimataifa, hazikuingilia kati?
  12. S

    Daktari wa Upasuaji akiri kuiba machine ya kuangalia mapigo ya Moyo Hopitali ya Rufaa Simiyu na kuiuza Mkoani Mwanza

    Kwanini usimkute mkoani? Ni wachache sana? Au they are highly demanded?
Back
Top Bottom