Recent content by Sokulu Mkombe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

    Waungwana msaada dawa ya chunusi tafadhali
  2. S

    JamiiForums Tanzania Njia nyepesi kwa CHADEMA ni kuomba radhi Watanzania, nothing else

    Chawa kama Chawa Unanufaika na Mfumo unatuona hamnazo au Sio
  3. S

    JamiiForums Tanzania BongoZozo amepost picha ya watoto wake na kuandika "madini niliyoiba" huku akiweka wazi kuwa watoto wake wameporwa uraia wa Tanzania na Serikali

    Tumia Akili kidogo iliyobaki kwenye fuvu lako Unijibu maswali Haya -Ulipewa hiyo nafasi ya kuziona hizo unazoita takwimu? -Hali ya vituoni uliiona? - Niaminishe kwamba INEC ni Huru Kimsingi huna lolote wewe unatetea Uozo, Chawa unatuona Hatuna akili au Sio 🤣🤣
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hawa Wakenya, Wana nini na Tanzania?! Wanatutukania Rais Wetu kuwa She Was Nobody na Kumuita Dikiteta Iddi Amini Mama!, Tusikubali na Tusiwanyamazie!

    Mkuu mwenendo wa Taifa ni mbaya mno, watu wanatekwa, wanauliwa, ukikosoa wewe ni mhaini... - Katiba iliyomuweka madarakani aliita kijitabu (Dharau Gani hii?) -Hukuona Kuelekea October alijiteua Kutetea kiti huku wapinzani wake wakiminywa? Uchaguzi mkuu Kajipitisha kwa 97 % hao wapiga kura...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hawa Wakenya, Wana nini na Tanzania?! Wanatutukania Rais Wetu kuwa She Was Nobody na Kumuita Dikiteta Iddi Amini Mama!, Tusikubali na Tusiwanyamazie!

    Na ameshinda tuzo ya Dicteta wa Dunia we huoni? Kwa akili yako unadhani anasingiziwa 🤣🤣🤣 Njaa sio nzuri Usomi wako ni hasara kwa Taifa kwa mwenendo huu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kubadili kadi ya umiliki wa bajaj na gharama za bima pamoja na LATRA

    KUBADILI UMILIKI Kubadili jina anaweza kufanya alyekuuzia kwa kuingia kwenye account yake ya TRA portal Au kama hawezi nenda nae TRA iliyopo karibu nawe *Nyaraka zinazohitajika ni 1. Mkataba wa mauziano 2. Risiti kutoka kwa mwanasheria inayoakisi ghrama halisi iliyoko kwenye mkataba wa mauziano...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Diploma ya Accountancy kwa masomo hayo

    Anasoma bila shida .... Entry requirements Za Diploma programmes ni D 4 za msaomo yasiyo dini kwa O- LEVEL, Advance na level nyingine za chuo huwa ni kuwa ni additional requirements
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kumuona nabii milioni 1.5 nimechoka

    Afya ya akili, afya ya akili, Afya ya akili....... Tunaangamia kwa Kukosa Maarifa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Transportation courses

    Tembelea website ya NIT zipo nyingi mno
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

    Plate number na Chasis number za kadi na zilizoko kwenye pikipiki lazima zifanane na zilizoko TRA ndipo mfumo utoe namba ya malipo (control number)
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

    Siku hizi huduma za LATRA kwa pikipiki na Bajaji ni online (kama ilivyo kwa Magari) hupati huduma kama una kadi FEKI maana mfumo umeunganishwa na TRA, Dar ujanja ni mwingi but kila lakheri.
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

    Wazuri wengi mafuvu yao hayana kitu (akili za maisha). Fikra zao huwatuma kwamba wamekalia uchumi 😂😂😂 kitu ambacho sio uhalisia wa maisha ya ndoa, wanasahau kwamba Mwanaume huanza kwa kutamani then upendo. Tabia ndo itamfanya aamue atadumu nae kwa muda gan
  13. S

    JamiiForums Tanzania Simba kukipiga na El-Qanah ya Misri, Mechi ya kwanza kirafiki hapo kesho 22.07.2024

    SIMBA anaongoza 2 dakika ya 20 magoli yote na JEAN CHARLES
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jukumu la kufikisha mwanamke kileleni ni mzigo mkubwa kwa wanaume tofauti na inavyofikirika

    🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom