Recent content by SOKONOYI

  1. SOKONOYI

    WHO: Siyo lazima Muuguzi kuvaa gloves wakati akimchoma mtu chanjo!

    Kwamba WHO nao wanajibu kisiasa kama wakubwa walivyozoea kutujibu?
  2. SOKONOYI

    Uchakavu wa basi za shule

    Ndugu zangu watanzania poleni na hongereni kwa pilika pilika za msimu wa sikukuu! Nimekuwa na kero ya muda mrefu kuhusu hizi school bus wanazopanda watoto wetu. Kuna baadhi ya shule ambazo wanafunzi hubebwa kwa bus na hizo bus nyingi hazina hadhi ya kubeba watoto kwasababu ya ubovu na uchakavu...
  3. SOKONOYI

    Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

    Wakosoaji na wasifiaji wote wako sawa na malengo yao ni mazuri. Mwacheni Roma aimbe SHILAWADU 22,
  4. SOKONOYI

    Lipia Sh. 19,000 Dstv uone mechi ya UEFA

    Wapo kibiashara zaidi
  5. SOKONOYI

    Mahakama Kuu kusikiliza maombi ya msingi ya kutaka Mbunge mteule wa Singida Mashariki asiapishwe na kutoa uamuzi siku ya Agosti 23, 2019

    Vipi kuhusu majimbo ya kina Nimrod Mkono na Sospeter muhongo? Kwa tukio la kushambuliwa kwa Lisu na utofauti ulioonyeshwa na Spika pamoja na serikali dhidi ya Lisu ilipaswa busara itumike na siyo sheria.
  6. SOKONOYI

    Ni mawazo yangu ya Usiku: Magufuli Tanzania inataka azimio la Chato

    Ipitishwe kuwa kumsifia rais ni lazima kwa mujibu wa katiba
  7. SOKONOYI

    GE2020 Pamoja na Mapungufu ya Magufuli akisimama mwaka 2020 na wafuatao ntamchagua tena

    Mimi nitaungana na watanzania wengi kutopiga kura hadi itakapopatikana katiba mpya. Katika muktadha huu ambao nguvu ya CCM ni mchanganyiko wa CCM+POLISI +VYOMBO VINGINE VYA DOLA, kushiriki uchaguzi ni sawa na kulima nafaka kwenye hifadhi ya wanyama pori.
  8. SOKONOYI

    Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    Ujasiri upi mkuu mbele ya bullet na dola?
  9. SOKONOYI

    Tuhuma za mauaji: Nimehojiwa na Polisi, nimetimiza wajibu wangu

    Mungu wa mbinguni ni wakati sasa ujidhihirishe upo upande upi kwani "watekaji na watekwaji wote wanakutaja" ni kama wote wanakutegemea wewe.
  10. SOKONOYI

    Prof. Palamagamba Kabudi Aleta wawekezaji nchini

    Wapo tu na huletwa kila siku hao wawekezaji + viwanda vipya 3000 lkn bado uchumi wetu upo pale pale . Magufuli ni leader mzuri lkn sina imani na hawa kina Palamagamba Kabudi,
  11. SOKONOYI

    Tumia mafuta ya habat soda (black seed oil) kutibu magonjwa mengi

    Je, hii dawa ina complications zozote iwapo utatumia au kuzidisha kipimo?
  12. SOKONOYI

    Serikali: Thamani ya shilingi ya Tanzania yazidi kuimarika moja ya sababu ni matumizi ya gesi asilia

    Shilingi inaimarika kivipi? Au labda mimi sielewi maana ya kuimarika kwa shilingi dhidi ya dola
  13. SOKONOYI

    Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

    Bosi.....Ferouz, Juma Nature na Solo thang Sonia.....Juma Natute Malaika...King Crazy GK na TID Starehe.....Ferouz na Prof Jay Bongo Daresalam.....Prof Jay na Lady Jaydee
Back
Top Bottom