Recent content by Sokoine

  1. S

    Tetesi: TAKUKURU, TISS wadaiwa kuchunguza rushwa ya Wizara ya Nishati kwa Wabunge

    TAKUKURU wamechelewa sana kuchukua hatua hii, maana rushwa ile ilikuwa nje nje tena mchana kweupe
  2. S

    Luhaga Mpina aivaa Wizara ya Nishati, asema imevunja sheria kwenye majadiliano ya LNG

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023 Changamoto kwenye mradi wa LNG: (i) Hakuna taarifa ya kufanyiwa mapitio ya PSA katika vitalu na 1, 2...
  3. S

    January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania

    Rais Samia avunje Baraza la Mawaziri, awapangue kina January na wengine aanze na safu mpya kabla ya 2025 Ni ushauri tu
  4. S

    Mti wa Xmas wazua simanzi kwa wafanyakazi wa The Guardian Limited

    Ni asubuhi na mapema. Wafanyakazi wa kampuni ya The Guardian Limited chini ya kampuni ya IPP wanaripoti kazini na kukutana na mti maridadi wa Christmas ukiwa na mapambo kwenye eneo la mapokezi. Nyuma ya mti huo wa Krismasi kuna ukuta mweupe ukiwa na maneno makubwa The Guardian Limited -- The...
  5. S

    Barrick Gold mining yabadili jina na kujiita ACACIA

    Naona mkuu kichwa kimepata moto bure. Wafanyakazi hao uliowataja mikataba yao ya kazi tangu awali iko na Bulyanhulu na North Mara na siyo Barrick na inaendelea kubaki hivyo kama walivyosema wanaojua suala hili vizuri. Sasa kama mikataba ya wafanyakazi inaendelea kubaki na BULYANHULU na NORTH...
  6. S

    Wagombea wa CCM kwa mujibu wa Kinana

    Daka like 1,000,000. Lowassa amenunua watu wasambaze propaganda hadi humu JF, wacha wale hela za fisadi, Ikulu atapasikia kwenye bomba tu.
  7. S

    Mahojiano ya Diallo na raia Tanzania kuhusu Lowassa, huyu diallo analake moyoni

    EL ni tatizo. Na CCM wakirogwa wamuweka yeye kama mgombea 2015 kwa njia za rushwa wajue ule utabiri wa Mwalimu Nyerere utatimia kuwa upinzani wa kweli TZ utatoka ndani ya CCM na chama tawala kitakufa kama KANU ya Kenya.
  8. S

    Edward Lowassa Mwaka 2015 ataingia Ikulu au Segerea?

    Huyu Lowassa 2015 ni kumuweka Segerea tu nchi hii itulie na itawalike vizuri. Kesi iko wazi, kujilimbikizia mali kwa kutumia ofisi za umma. Hosea atolewe pale TAKUKURU awekwe mtu shupavu ampeleke mahakamani huyu Mamvi anyamazishwe once and for all.
  9. S

    Edward Lowassa Mwaka 2015 ataingia Ikulu au Segerea?

    Kama ni suala la mashine ya kazi, Lowassa hamfikii Magufuli hata robo kwa utendaji kazi. Kwa nini Magufuli hapigiwi kampeni kuwa Rais? Jibu rahisi, kwa kuwa hajatoa rushwa kama anavyotoa EL.
  10. S

    Taja wanasiasa 5 ambao hawafai kuchaguliwa kuwa rais wa tanzania 2015

    1. Edward Lowassa 2. Andrew Chenge 3. Makongoro Mahanga 4. Peter Serukamba 5. Beatrice Shelukindo.
  11. S

    Clouds fm wa hack account ya adili ya facebook na kusambaza ujumbe kuwa kajitoa ant virus

    wewe adili anakujua nani? usitafute promo kwa nguvu na za kijinga,fanya kazi ya maana utaonekana tu,sijawai kukuskia radioni kukuona kwenye tv hata ch 5 sasa hii tv pia ni ya clouds? kwani na huko wanakubania? mbona wasanii wengine wanaonekana? iweje unapiga yowee ili mradi uskike tu!!! fanya...
  12. S

    Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

    Ahsante kaka, Mungu atawalaani mafisadi wote na vibaraka wao kama Absalom Kibanda wa Tanzania Daima na Saeed Kubenea wa Mwanahalisi.
  13. S

    Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

    Kibanda siku zote wala hafichi kuwa yeye anawatumikia mafisadi na Edward Lowassa ni bwana wake. Huyo Kubenea wa MwanaHalisi ndio amekuwa mnafiki siku zote kujidai eti anapambana na mafisadi kumbe kashafika bei na wamemnunua na yeye siku nyingi sana. Hawa ndio waandishi wa habari wanaostahili...
  14. S

    Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Hatudanganyikiiiiii! Sitta ni kiongozi mwenye msimamo, kuisadia serikali na waziri mkuu kwa mambo anyoamini ni sawa kwani ikumbukwe kuwa yeye ni mwana CCM na ni waziri. Tunamwamini na kumhitaji SAMUEL SITTA kutokana na kukataa kuwa kigeugeu na mnafiki katika kupinga ufisadi na siku zote amekuwa...
  15. S

    Shy-Rose awapa vidonge wanafiki wote!

    Nampongeza dada Shy kwa ujasiri wake wa kuongea ukweli si watu wengi wenye ujasiri wa kuweka ukweli hadhalani na kinachowasaidia ni kuweka mawazo yao kwa kutumia mgongo wa account binafsi. Akiongea ukweli unaona watu wasiokuwa na hoja wanamuandama kwa masuara yake binafsi. Kwanza sioni tatizo...
Back
Top Bottom