RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,762
SWOT ANALYSIS YA KWA WAGOMBEA WA CCM
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Mgombea
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Strength
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Weakness
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Opportunity
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Challenge
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Rank
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Lowassa
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Mchapakazi, Ana Maono ya Kimaendeleo, Ana Maamuzi, Ana Kubalika na Rika zote, ni Kiongozi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Ana Hasira
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Ana Nafasi kubwa ya kuwa Rais atakaewaletea Watanzania Maendeleo ya kweli
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Vatican na nchi Wahisani/Nyanganyi wanahofu ya kuvunjiwa Mikataba yao kama alivyofanya kwa City Water, KASHWASA na Mapendekezo yake ya kuingoa Richmond/Dowans/SYMBION
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] 1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Membe
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Amesomea Fitna, Majungu, Anauwezo mkubwa wa kuwashughulikia maadui zake via majungu mfano Lowassa, Mudhihir, Mudhihir Mohamed, Ghasia, Anna Abdallah
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Mpishi wa Majungu na Fitna
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Ana nafasi nzuri ya kuchakachua via TISS na Familia ya Rais, Nchi Nyanganyi/wahisana wanaona ni afadhali yeye kuliko Lowassa
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Hana Hulka na Sifa za Kiongozi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] 2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Makamba Jr
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Celebrity
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Muuza Sura
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Ujana Wake Una nafasi ya kumpatia sifa asizostahili, Nchi Wahisani Zimemjenga kwa maslahi yao
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Hana product ya kuwaonyesha Watanzania, so far ameshindwa kuwalazimisha makampuni ya Simu kulipa kodi kiasi cha kuzidiwa hata na Rwanda yenye watu wachache kuliko Bongo
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] 3
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Sumaye
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Ana tawalika hivyo wahafidhina wanaweza kumuendesha remotely
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Miaka 10 ya PM alishindwa ku-deliver
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Hayuko kwenye Makundi hasimu hivyo kumfanya neutral na mwepesi kutumika bila madhara hivyo kumfanya Ideal candidate kwa wenye nchi hii
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Mgumu Kuuzika kwa Wananchi ingawa nchi Wahisana wanaona atawafaa kwani itakuwa ni muendelezo wa Sera za Mkapa
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] 4
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Wassira
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Mzuri wa Porojo na mikakati ya kuwazima wapinzani hususan CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Kura za akina mama waliomchagua JK atazikosa
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Nchi wahisana wanamkubali kutokana na kukubaliana na projections feki za kiuchumi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Ngumu kumuuza kwa akina mama, hana product tangible ya kuwaonyesha wananchi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] 5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Kigwangala
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Ana courage ya kubwabwaja hata kisichokuwa na msingi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Hawezi kusoma ktkt ya mistari
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Vita na Makundi ndani ya CCM vina kumnadi ingawa hana sifa za kuwa Kiongozi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Kupenda sifa na kujikweza havina correlation na Urais, ana kazi ya ziada kuwashawishi wananchi napia nchi wahisani
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] 6
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Pinda
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Loyal kwa Vatican na mzuri wa kusimamia programu za LIWALO na LIWE by hooks n cooks
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Amezoea kutumwa kutokana na ukweli kuwa amkuwa mhudumu Magogoni toka awamu ya kwanza hivyo kumfanya kuwa mhudumu zaidi ya kuwa kiongozi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Rahisi kutumika remotely ndani na nje ya nchi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Kama PM mpaka sasa ameshindwa kabisa ku-deliver zaidi ya usanii wa machozi na kuwadhibiti mahasimu wake via LIWALO na LIWE program

[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Ngeleja
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Loyal kwa Mabosi zake wa ndani na nje ya nchi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Hana sifa za Kiongozi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Kama waziri wa nishati na madini alisaidia sana kuendeleza ukwapuaji via mikataba ya kishenzi Wahisani wana muamini
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"] Kuna hitajika kazi ya Ziada kumnadi kwa wananchi

[/TABLE]