Recent content by sokka11

  1. S

    TCRA saidieni kutuondolea kero ya matangazo TIGO

    kwa hili ni kweli, yani mtu unasubiri mchongo wako wa demu au pesa, unakuta ki ujumbe cha PESANI....yaani dah, Mungu anawaona hawa
  2. S

    Huyu ndiye Nsato Marijani Aliyelala kwenye gunia jeshini na Magufuli

    mtoa mada nilidhani utamuongelea huyo jamaa tumfahamu vizuri walilaje kwenye magunia utendaji wake ukoje kabla ya uteuzi wa nafasi hiyo na baada ya uteuzi, labda ubadilishe kichwa cha uzi au ulikuwa na haraka gani
  3. S

    UDSM wawekeeni kamba za kuanikia nguo vijana pale Magufuli hostel

    watu wa chuo kikuu unawafikiria ww duuh, hiki kizazi ndo kile cha dada wa kazi anafanya kila kitu mpk kumvalisha nguo ya ndani
  4. S

    Kilichomkuta jirani yetu baada ya kununua gari kwa mtu nimemwonea huruma sana

    na hiki ndicho kilichomfanya aandike uzi, ni kama wivu vile au chuki au..... hakumshauri wakati ananunua ila baada ya kumtokea mabaya naona jamaa anafuraaaaaahi.....hii ndio bongo yetu na ndo akili zetu
  5. S

    Msaada sehemu ya kujaza fire extinguisher

    unataka kusema huwa hazitumiki mkuu
  6. S

    Huyu mtoto akikua na kuona hizi picha atajisikiaje?

    nimeipenda lugha yako imenikumbusha mbali sana mkuu
  7. S

    Je, Rais ana washauri wa Sheria? Hïi ndio sheria ya bendera ya Taifa!

    nia ilikuwa kuonesha kuwa tuna madini, lakini je ni dhahabu ndiyo tuliyonayo tanzania???/ kama tunayo madini mengi zaidi ya dhahabu, je yaoneshwe kwa rangi ipi???/ kwani bendera ni msaafu kwamba hamuwezi kurudi nyuma na kutengeneza upya,,, mbona swaziland wamebadili jina na kuwa........ bado...
  8. S

    10 major human rights violations the eu flattered parliament could not ulter a word

    muandike kingereza au kiswahili, magu kaza uzi...... kanyaga twende baba
  9. S

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    chanel mpya iiteni kilimanjaro achaneni na mambo ya tbc 3, ni lini mtatumia jina la kilimanjaro jamani
  10. S

    Karibuni kwenye semina ya neno la Mungu

    Mungu awabariki sana, semina ifanikiwe na Mungu akajiinue, utukufu, ukuu na heshima vibaki kwake MUNGU
  11. S

    Wanawake na sms

    aaaaha unaweza kuikandamiza kwa bahati mbaya iakawaka bora utoe na betri kabisa
  12. S

    Kwa wacheza Drafti wezangu!Tupia Jargon yoyote uliowahi kuisikia

    pia tuambieni kuna visa watu walipigana kwa maneno hayo au wote huwa wanavumilia???/
  13. S

    Je, kutengeneza magari nchini kutapunguza kero za kuagiza magari nje kwa kiasi gani?

    hatutaki mijadala ya namna hii, tunapenda ile ya udaku na siasa, hii ya maendeleo ni migumu na inahitaji kufikirisha bongo
Back
Top Bottom