Recent content by sogole

  1. sogole

    Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

    RIP Mzee dude
  2. sogole

    Nimeacha kuishabikia Arsenal

    mm niko na chama langu liverpool na kamwe sintohama Piga ua garagaza,hata nifungwe goli 10 nitabaki I will never walk alone
  3. sogole

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    kwa mujibu wa biblia hatupaswi kulipiza kisasi na wala kuhukumu,tuwaombee waliofanya hili tukio wakumbuke toba kwani hawajui watendalo, Rest in peace baba paroko mbele yako nyuma yetu-AMINA
  4. sogole

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    wanangu wanaangamia kwa kukosa maarifa bwana asema
  5. sogole

    Ajira Mpya Za Walimu Ni Kama Kesi Ya Lulu.

    Ee bwana pole sana, unapaswa tu kuvumilia hii ndo serikali yako uliyoiweka madarakani ila nina imani huu mwezi utapangiwa kituo cha kazi
  6. sogole

    How to use JamiiForums effectively

    wazo la kujenga
  7. sogole

    Nisaidieni mnaoifahamu UDOM

    aisee pole kijana kwa ninavyo wafahamu hapo udom hawawezi kukuelekeza cuz wapo against na CCM, labda fanya utafiti kwenye ofisi za chadema ndipo utapata support ya ukweli.
  8. sogole

    Kujivua gamba

    Leo ni kama siku ya pili hivi, tangu mbunge wetu Rostam ajivue gamba kutokana na kashifa za kuiingiza serikali loss kubwa mpaka nchi yetu kujulikana duniani kote kutokana na madeni mengi mpaka tunashindwa kuyalipa.Kwanza napenda kukupongeza Rostamu kwa uamuzi mzito na wenye busara wa kujivua...
Back
Top Bottom