Mama ntilie wachunguzwe, wanatuwekea hamira kwenye ugali matokeo yake watu tunapungukiwa na nguvu za ...... halafu tunasinzia ofisini hasa sisi walinzi tukiwa kwenye lindo.
Pili hawa watu wanatabia ya kupandisha bei ya chakula kiholela. Leo hii ugali kuku wa kienyeji ni elfu tatu mia tano wakati...
Suala hapa sio kwamba hazifiki sabini. Hata kama zingekua sitini na tisa, masamaki angetoa wapi pesa za kujenga mradi mkubwa kama ule kwa mshahara wake ? Kumbuka nyumba ya bei ya chini NHC ni shs hamsini milioni. assume hizi za mheshimiwa masamaki ni za bei ya chini gharama yake ki rahisi...
Makubwa... siku hizi Geita pamekua mji. Na huo umeme umefika lini ? jamani long time sijapita mitaa ya huko. Si ajabu kutakua na gesti. Maana mtanzania akiona sehemu kuna gesti, stendi na umeme anaita mji.
Chagua sisiem chagua maisha magumu. daladala tunapanda mia sita na lina piga ruti chavhe kwasababu ya foleni. sasa iweje wasio na foleni waongezewe nauli ?????
Bora daladala mara mia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.