Swali: Madhehebu ya wakristo

Swali: Madhehebu ya wakristo

Kwani umesikia wamegombana?? Wenyewe wako vizuri na wanaelewana tu hapana mbaya..
 
Walokole wakiKatoliki wapo wengi tu siku hizi. Wanaitwa KARISMATIC, wananena kwa lugha, wanakemea na kutoa mapepo, wanatoa na kupokea unabii nk. Ulokole ni kuamini WOKOVU na Nguvu za Roho Mtakatifu
 
So ni sawa kwa mkatoliki kuhudhuria ibada kwa Gwajima au TB Joshua?
na still akawa mkatoliki?

Nijuavyo mimi sala za kanisa Katoliki ziko very structured. Mfano...Ibada ya Jumapili ambayo ni rasmi ni misa takatifu halafu inawezekana zikaendelezwa ibada nyingine. Anayeweza kufanya ibada ya misa ni lazima awe padri.

Gwajima au TB Joshua hawana sifa hizo za kufanya sala inayokubalika kwa wakatoliki...ni ngumu kuwa muumini wa sehemu nyingine na katoliki wakati ule ule
 
Walokole wakiKatoliki wapo wengi tu siku hizi. Wanaitwa KARISMATIC, wananena kwa lugha, wanakemea na kutoa mapepo, wanatoa na kupokea unabii nk. Ulokole ni kuamini WOKOVU na Nguvu za Roho Mtakatifu
Charismatic ni chama cha kitume NDANI ya Kanisa Katoliki, kama vile UWAKA, WAWATA, VIWAWA, Legio Maria nk. Rejea swali la mleta mada; yeye anataka kujua ulokole NJE ya Kanisa Katoliki kama unaruhusiwa
 
Naomba tujihadhari na mihemko naomba kuuliza kuwa kujua tu niko curious.

Naomba wenye kukashifu mkae pembeni, lengo ni kuelimishana tu.

Swali langu ni hili;

Mtu anaweza kuwa mlokole na still Mkatoliki au Mlutheri?

Je, tunaweza sema mtu anasali kwa Gwajima au TB Joshua but still Mkatoliki au Mlutheri?

Je, Gwajima yeye binafsi anaweza kuwa Mkatoliki pia au Mlutheri?[/QUOTE

Sasa na mimi nikuulize swali....Ukisha sali kwa Gwajima ama TB Joshua huko Ukatolikini na Ulutherini utasali saa ngapi? Huoni kama automatically utakuwa umejiondoa huko Katolikini na au Ulutherini?
Jaribu kufikiri maana ya kuitwa wewe ni wa dhehebu fulani ni kwa sababu huwa unafanya ibada huko.......
 
Soma hapo juu
 
Ulokole ni nini ?? Ukatoliki ni nini ?? Ulutheri ni nini ??
Sijui nikujibu vipi ila ngoja nikupe mfano
Je mtu anaweza kusoma international school of Tanganyika na akasoma Uhuru mseto,
Na je tunaweza kusema Wa international school na uhuru mseto wanaweza kufanya mitihani na kusimamiwa na NECTA ??
Je international school imesajiliwa Tanzania au Kenya ??
 
Makanisa yote ni biashara tu.

The boss Huku ndio ulikotaka kutupeleka kwa maswali yako ?? Acheni mada za kuongelea udini ??
Wenye busara zao watakuja kukujibu acha Mimi niishie hapa kwa sababu ya updates nazotegemea kupata Jf ,vinginevyo ningepewa life Ban kwa kujibu ulichoandika hapa
 
Naomba tujihadhari na mihemko naomba kuuliza kuwa kujua tu niko curious.

Naomba wenye kukashifu mkae pembeni, lengo ni kuelimishana tu.

Swali langu ni hili;

Mtu anaweza kuwa mlokole na still Mkatoliki au Mlutheri?

Je, tunaweza sema mtu anasali kwa Gwajima au TB Joshua but still Mkatoliki au Mlutheri?

Je, Gwajima yeye binafsi anaweza kuwa Mkatoliki pia au Mlutheri?[/QUOTE

Sasa na mimi nikuulize swali....Ukisha sali kwa Gwajima ama TB Joshua huko Ukatolikini na Ulutherini utasali saa ngapi? Huoni kama automatically utakuwa umejiondoa huko Katolikini na au Ulutherini?
Jaribu kufikiri maana ya kuitwa wewe ni wa dhehebu fulani ni kwa sababu huwa unafanya ibada huko.......

Mkuu kukujibu hilo tunapaswa kuwauliza Magufuli na Lowassa...
wakatoliki na walutheri lakini kwa TB Joshua wapo..kwa Gwajima na Fernandes wapo pia
 
The boss Huku ndio ulikotaka kutupeleka kwa maswali yako ?? Acheni mada za kuongelea udini ??
Wenye busara zao watakuja kukujibu acha Mimi niishie hapa kwa sababu ya updates nazotegemea kupata Jf ,vinginevyo ningepewa life Ban kwa kujibu ulichoandika hapa

Swali langu ni la kisiasa zaidi
kuliko dini......mimi nimewaona Magufuli na Lowassa kwa TB Joshua

na Lowasa kwa Gwajima na Magufuli kwa Fernandes...najiuliza huwa wanaenda huko kisiasa?
kuvutia walokole kwenye kura?wao bado ni RC na KKT?
 
Nijuavyo mimi sala za kanisa Katoliki ziko very structured. Mfano...Ibada ya Jumapili ambayo ni rasmi ni misa takatifu halafu inawezekana zikaendelezwa ibada nyingine. Anayeweza kufanya ibada ya misa ni lazima awe padri.

Gwajima au TB Joshua hawana sifa hizo za kufanya sala inayokubalika kwa wakatoliki...ni ngumu kuwa muumini wa sehemu nyingine na katoliki wakati ule ule

Sasa hapo ndo panashangaza
Gwajima anawaaminisha waumini wake Lowassa ni mlokole mwenzao
huku Lowassa akisema yeye ni mlutheri....kama ambavyo Fernandes anaweza sema Magufuli ni muumini wake
sababu anaendaga kanisani wakati Magufuli anasema yeye mkatoliki....huu mchanganyiko najiuliza ni siasa tu?
kwa TB Joshua wote walienda....
 
Swali langu ni la kisiasa zaidi
kuliko dini......mimi nimewaona Magufuli na Lowassa kwa TB Joshua

na Lowasa kwa Gwajima na Magufuli kwa Fernandes...najiuliza huwa wanaenda huko kisiasa?
kuvutia walokole kwenye kura?wao bado ni RC na KKT?

Ni sawa haukua na nia mbaya juu ya maswali yako ila tatizo ni majibu ya watu Wa kaliba ya Faizafoxy ndio kutapelekea kupoteza maana ya thread yako ,FAIZA KASEMA MAKANISA NI BIASHARA NA MIMI NINGEMJIBU MISIKITI NI SEHEMU YA KUFUNDISHIA UGAIDI ,NINGEKUA NA KOSA ???
 
Sasa hapo ndo panashangaza
Gwajima anawaaminisha waumini wake Lowassa ni mlokole mwenzao
huku Lowassa akisema yeye ni mlutheri....kama ambavyo Fernandes anaweza sema Magufuli ni muumini wake
sababu anaendaga kanisani wakati Magufuli anasema yeye mkatoliki....huu mchanganyiko najiuliza ni siasa tu?
kwa TB Joshua wote walienda....

.."Gwajima anawaaminisha walokole wenzake Lowasa ni mlokole mwenzao".. are u sure of this.!!
so,Slaa nae atakua mlokole mwenzao,na lukuvi na wengine wote walioenda kwa Gwajima?!
Hivi;kuna shida gani mimi mkatoliki nikiamua kwenda kwenye dhehebu lolote nikasali? Mungu si yuleyule? na hata sijamsikia Gwajima akisema lowasa ni mlokole mwenzao zaidi ya kusema lowassa ni rafiki yake km walivyo wengine niliowataja hapo juu..
You know what? try to avoid unnecessary complications brother.
 
haya makanisa ya watu wanao jiita manabii,mitume, walioteuliwa, walokole, na kila mtu anaeanzisha kanisa na kusema ni la fulani nia yao ni moja tu kupata sadaka na kufanya mazingaombwe. Na trend ilianzia usa in the late fifties na sixties ukitizama vizuri hata muundo wa management yao ni kama kampuni binafsi final say iko kwa kiongozi(nabii,mtume, au mpakwa mafuta) wengine wote fuata nyuma. Chunguza kama hata siku moja wanaenda kutoa misaada ya kijamii vijijin kama waluther wakatoliki au waanglikan wao ni uje na sadaka tena nyingii tuuu unaumwa badala ya dawa unaambiwa tutakuombe mpaka upone. (na most of them walitoka kwenye makanisa mengine because kulikuwa na conflict of interest e.g. Mwing)

kuhusu swali lako ukishaanzisha kanisa lako umejitoa kwenye ulutheri na hata ukatoliki na hata anglikana sababu utakuwa ukipingana na taratibu zao za kuendesha makanisa yao.
Kuna watu wanahubiri na kutoa mafundisho ya dini mfano semina ,maombezi n.k. Lakini wanapata baraka kutoka kwa makanisa ambayo ni wafuasi mfano mwalimu mwakasege na wengineo
 
Nakubaliana na wewe 100%.
 
Sasa hapo ndo panashangaza
Gwajima anawaaminisha waumini wake Lowassa ni mlokole mwenzao
huku Lowassa akisema yeye ni mlutheri....kama ambavyo Fernandes anaweza sema Magufuli ni muumini wake
sababu anaendaga kanisani wakati Magufuli anasema yeye mkatoliki....huu mchanganyiko najiuliza ni siasa tu?
kwa TB Joshua wote walienda....

d
Kuingia kwenye ibada za hayo makanisa inawezekana ni fashion ya siasa na kampeni za mwaka huu. Wana siasa ni balaa...Mfano Slaa anamtaja Mungu kuliko mimi na wewe tunavyoweza kumtaja. I hope anamaanisha anachosema
 
Walokole wako harsh sana wale....yaan gambe kwao dhambi??!! Kitimoto akipandi,msalaba hawataki,sanamu la bikura Maria wala yesu wao no.......sasa ndo ukristo gan huo...??!
 
Back
Top Bottom