Usafiri wa kwenda Posta Dar ni shida sana Leo

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Naomba serikali itafute ufumbuzi wa haraka watu wanateseka,cma bus ya UDA karibia yote yamekamatwa.

Bus zote zinaishia mnazi mmoja, kutoka Mnazi mmoja mpaka Ferry hakuna gari yoyote.
 
Naomba serikali itafute ufumbuzi wa haraka watu wanateseka,ma bus ya UDA karibia yote yamekamatwa,bus zote zinaishia mnazi mmoja.kutoka mnazi mmoja mpaka ferry hakuna gari yoyote.

Yamekamatwa sababu
 
Nadhani ni muda sasa waruhusu mabasi yote yaende mjini, barabara ya mwendokasi mjini imeshaisha hivyo sababu ya kutoruhusiwa haipo tena.
 
Leo posts nyingi zinafyekwa sana, au naona vibaya?
 
Naomba serikali itafute ufumbuzi wa haraka watu wanateseka,cma bus ya UDA karibia yote yamekamatwa.

Bus zote zinaishia mnazi mmoja, kutoka Mnazi mmoja mpaka Ferry hakuna gari yoyote.
Hoyaa hebu musituchoshe sasa wewe kutoka hapo mnazi 1 kwenda Posta au Ferry ni mbali hebu kula boda fasta ni sehemu mojawapo ya mazoezi.Hapo kwa wale wa Mwanza si ni sawa na kutoka Sahara kwenda Mabatini au wale wa A.town kutoka kwa mkuu wa mkoa hadi Ngarenaro labda kama unalea kitambi.
 
kaka umeongea kwa ukali. haya nitaacha kufuga kitambi
 
Riz1,Mshua na Tapeli Kisena walipe kodi maana hamna namna nyingine.
 
Back
Top Bottom