Kwakweli jamaa amejitahidi snaa;eg kuna mambo yalitakiwa yafanywe na awamu zilizopita mfano shule za kata,barabara,maabara ktk shule zote za kata,chuo kikuu cha dodoma,hv n vitu ambavyo vilitakiwa vifanywe tokea awamu ya nyerere,lkn wote hawakuweza lkn yeye amethubutu,ameweza na anazidi kusonga...