Recent content by Sobhukwe

  1. Sobhukwe

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Ukipata tushtuane mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Sobhukwe

    Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

    Ole Sabaya ni sawa na Mbwa tu [emoji706][emoji706] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Sobhukwe

    Wimbo huu unaitwaje, naombeni msaada tafadhali.

    Umofia kwenu. Kama kichwa kinavyojieleza. Naombeni msaada wa kuujua huu wimbo. Kwa maana nimetafuta jina lake kwa muda mrefu bila mafanikio. Nayakumbuka baadhi tu ya mashahiri. Haya hapa[emoji116] Busara si kipaji lazima ununue Uwe kijana hata mzee katika maisha, Uwe na busara Uwe kijana hata...
  4. Sobhukwe

    Pole sana Dkt. Mashinji wenye akili tulijua huna safari

    'alikuaapatani', sasa kama hata kuandika hujui, tutaamini vipi unachokiandika? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Sobhukwe

    Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Siyo yupo kwenye level nyingine, ni muhuni tu na mjanja mjanja.
  6. Sobhukwe

    Kuingilia Mawasiliano ya Viongozi: Rais Magufuli anajitapa hadharani kuvunja Katiba ya nchi

    We jamaa kinyesi kweli!! Ulidakia mada ya korosho, saizi tena unafurahia wenzako kuwekwa segerea. Sijawahi ona mnyakyusa pimbi kama wewe. Yaani wewe ndio wale vibaka msiokuwa na mbele wala nyuma mmejazwa humu mitandaoni ili kupuliza filimbi tu na kulipwa buku 7. Sikujua kama ni kibaka wa Lumumba...
  7. Sobhukwe

    Tuseme ukweli: Serikali haina fedha za kutosha kwa ajili ya korosho

    Acha propaganda wewe. Mimi nina tani moja na robo, shamba langu lipo Nachunyu, lakini hadi leo sijaingiziwa pesa. Sidhani kama wewe hata shamba unalo. Hebu tuwe serious na vitu vya msingi, tusipende kukejeli. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Sobhukwe

    Tuseme ukweli: Serikali haina fedha za kutosha kwa ajili ya korosho

    Acha ujinga ndugu. Mwenzako kaeleza masikitiko na maoni yake unadandia kuwa wa kangomba. Mbona mnapenda kuishi kwa kukariri? Hebu tuliza kalio zako, sio lazima uchangie kwasababu halikuhusu wala halijakukuta. Kaa kimya!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Sobhukwe

    WanaCCM wamegeuka kuwa watetezi wa mafisadi na ufisadi wa 1.5T.

    Mwenyekiti wao anajificha kwenye kivuli cha ukali, lakini ndiye fisadi mkuu. Sijui hawa vijana kama wana akili timamu? Hawaeleweki zaidi ya kujali matumbo yao. Wapo radhi kuona Taifa likizama shimoni lakini wao hawajali. Hawawezi kuwa upande wa CAG kwakuwa hana vifaru, majeshi, na wala hatoi...
  10. Sobhukwe

    Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

    Nchi ya kishetwain hii Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Sobhukwe

    Hili suala la Benki kuweka wazi taarifa za fedha za mtu kwenye sakata la Mwanza limekaaje?

    Acha propaganda wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Sobhukwe

    Zitto Kabwe: Spika ameagiza Kamati za Bunge za PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji kutofanya kazi na CAG, tunakwenda Mahakamani!

    Sijawahi kuona spika mnafiki kama huyu. Yupo tayari kuona Taifa likiangamia ili tu kulinda kibarua chake. Historia itamkumbuka kwa mabaya yake ya kulihujumu Taifa na Katiba yetu. Hatufai huyu! Hatufai! Hatufai! Na hatufai kabisaa! Ni msaliti wa Taifa hili. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Sobhukwe

    Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

    Hao sio wafanyakazi, ni vibaka- vijimama na bijibaba vya Lumumba vimevaa uhusika wa wa kifanyakazi ili kuiunga kiki ya Jiwe aliyojitafutia jana. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom